Kwakweli yani ila kama wamekosa watu wa kujazia basi watangaze upya kibali si wanacho kuliko kuzoletesha hata hawa ambao tayari ambao wanasubiri wenzao wanze semina ya mafunzoIla hii nchi, ukiangalia ufanisi na kasi ya utendaji wa NIDA, Sekretarieti ya ajira, jeshi la zimamoto na uokoaji, timu ya taifa (taifa stars), shirika la umeme, mitandao ya simu, n.k daah bora tu nikae kimya...
Itoshe tu kusema, nchi (pamoja na mambo yake yote) tunaipenda, acha tu tuivumilie.
Secretariat ya Ajira ndio jipu kabisa . Wametangaza Ajira tangub june tumeomba ni Received todate. Kama hatuna qualifications si tujulishwe kuliko hiyo Received then kimya. Waendele tu kuwapa Ajira waliomaliza 2021 sisi wa 201---- tusote Mtaani Kwa Makosa Yao.Ila hii nchi, ukiangalia ufanisi na kasi ya utendaji wa NIDA, Sekretarieti ya ajira, jeshi la zimamoto na uokoaji, timu ya taifa (taifa stars), shirika la umeme, mitandao ya simu, n.k daah bora tu nikae kimya...
Itoshe tu kusema, nchi (pamoja na mambo yake yote) tunaipenda, acha tu tuivumilie.