Mike Moe
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 319
- 335
habari za mchana wanajamii naomba msaada kwa mtu ambae ameshawahi kufanya interview utumishi, interview ambayo ilifanyika online naomba kama itampendeza tuwasiliane pm apate kunielekeza mambo yanakwendaje kwa interview za namna hiyo
Pia kwa mwenye uelewa na interview za online usisite kuchangia katika uzi huu ili kutoa elimu zaidi
Pia kwa mwenye uelewa na interview za online usisite kuchangia katika uzi huu ili kutoa elimu zaidi