Utumishi (PSRS) napendekeza muandae mitihani kwa viongozi wa kisiasa wanaoshinda majimboni

Utumishi (PSRS) napendekeza muandae mitihani kwa viongozi wa kisiasa wanaoshinda majimboni

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Habari za muda huu,

Naamini nafasi za uongozi zinahitaji watu wenye akili na uelewa (intelligence), siyo tu kuwa na ushawishi au pesa. Tanzania kwa sasa, tunaongozwa na watu wenye nguvu ya ushawishi wa kifedha kama wabunge na madiwani. Ili tuwe na viongozi bora wanaozingatia uwajibikaji (accountability), kwa nini Utumishi wa Umma (PSRS) wasitunge mitihani ya mchujo kwa viongozi wanaochaguliwa ili kupima uelewa wao?

Siyo tu kupima watumishi wengine; ni muhimu kuanza na viongozi wetu, ambao wengine wanadhaniwa kukosa uimara wa afya ya akili katika uongozi wao.
 
Back
Top Bottom