Utumishi rekebisheni kidogo hii

Utumishi rekebisheni kidogo hii

Joined
Jan 26, 2012
Posts
62
Reaction score
124
Nmeshangazwa na huu utaratibu wa kushtukiza kutoka utumishi, ambapo wanatoa majina ya usaili siku Moja kabla ya usajiri.

Yaani majina yanatangazwa tarehe 13, tarehe 14 usaili.

Hata kama mnataka kupunguza watu kwa namna hii sio sawa. Wekeni angalau siku tano kabla. watu wanatoka mbali ndani ya siku siku Moja mtu anafikaje eneo la usaili.

Kushtukiza kama hivi sio sawa.
 

Attachments

  • Screenshot_20230614-162644.png
    Screenshot_20230614-162644.png
    28.2 KB · Views: 7
Back
Top Bottom