Utumishi wameita Interview.

Joined
May 4, 2012
Posts
6
Reaction score
2
Utumishi wameita kada mbalimbali kwenye interview tarehe 6,7,na 8 December 2012. Tembelea website yao. Hongereni kwa walioitwa Mungu awasaidie mkafanye vema, na wale ambao hajaitwa hakuna sababu ya kukata tamaa wakati utafika tu.
 
Wakati utafika,ukiambatana na muda wa kufa,umri unakimbia mithili ya usain bolt,fanya maamuzi magumu.
 
Ni kqweli kwamba kukata tamaa ni dhambi ila kwa akili yangu timamu jina limetoka kwenye watu 1077 kuna bahati kweli hapoooo! Najitoa bure bure bure kabisa.
 
haa a a a ha a a a ha a a a a
msikate tamaa vijana keep on trying mtafanikiwa tu siku moja!
but kama kuna mambo mengine mnaweza kufanya km vile ujasiria mali, Ualimu nyie endeleeni, manake kuna maelfu ya vijana hawana ajira wanazunguka mijini kila kukicha na bahasha wanasambaza CV kwenye makampuni na maofisi tofauti tofauti.....Cv hizo zinaishia kuchomwa moto tu!
Hakuna mpango wowote wa kushughulikia tatizo hilo, wanaishia tu kutoa msemo wao kuwa "mjiajiri" hakuna anayezungumzia changamoto za vijana kujiajiri kama vile mitaji, elimu ya ujasiria mali n.k
ni wakati wenu kuamka
 
NAFASI NI YAKO KIJANA USIKATE TAMAA MAPEMA, why not you? au wewe siyo mtanzania?
vigezo na masharti si umetimiza ndugu......
 
jamani mbona sioni nafasi ya afisa biashara kwenye hayo matangazo ya interview?
 
msaad kwa mwenye majina ya waliotwa katika interview tarehe 8 desemba 2012 maana yanakataa ku-downloadika
 
Tusaidien jamani tangu jana nafungua hayafunguki
Utumishi wameita kada mbalimbali kwenye interview tarehe 6,7,na 8 December 2012. Tembelea website yao. Hongereni kwa walioitwa Mungu awasaidie mkafanye vema, na wale ambao hajaitwa hakuna sababu ya kukata tamaa wakati utafika tu.
 
mbona lile file linakataa kutengamaa ukitaka kulifungua kwa website yao.kama vile limeharibika, msaada mdau yeyote aliye download. please naomba unitumie kwa email hii: rahimchau@yahoo.com
 
tukumbushane majukumu ya afsa maendeleo ya vijana daraja la pili pleasr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…