Utumishi wameita tena hawa kwenye Usaili tar 15 dec 2012

Utumishi wameita tena hawa kwenye Usaili tar 15 dec 2012

Wild fauna

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
461
Reaction score
189
Salaam wakuu,nimepata simu kwa mshikaji wangu kuwa nimeitwa kwenye usaili tar 15 dec ila akanambia nifuatilie zaidi.
Wakuu mie nipo huku TANDAHIMBA nachonga vinyago vya kimakonde sasa inakua ngumu kupata access nzur ya internet cafe,may you please assist us to put those names ili na sie wenye simu tuweze kuona?
Tusaidieni ili nianze kutafuta nauli wakuu,naomba kuwasilisha.
 
Site ya Ajira iko down siku ya tatu mkuu, si unajua serikali kimeo haiwezi kuwa na site mushadad.

Jioni unaponyoosha nyoosha miguu nifikishie salamu zangu Mkoreha kwa Binti Ching'anyi na Rashid Chapakazi. Msichome tena soko bah
 
Back
Top Bottom