Nimepata habari kuwa Secretariati ya Ajira imeita tena watu kwenye interview itakayo fanyika DUCE tarehe 15 mwezi huu; Kwa yeyote anayeweza kudownload majina ya watu wanaohiotajika atusaidie kuyaweka humu na sisi tunaotumia simu tuweze kuyaona
Natanguliza shukrani za dhati