Utumishi wamesikia kilio changu wamenirudisha nilipochagua

Asante utumishi
Nimeludishwa mkoa nilipochagua mwanzoni baada ya kulalamika kuwa wamenipangia Kagera ambapo sikuchagua. Ahsante sana utumishi
Kuludisha ni kitu gani?
Na wewe ndo mtumishi mtarajiwa...
 
Daa waalimu waliotufundisha walikuwa wanajua kiswahili kutuzidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…