Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Copy & PasteKuna kazi Utumishi walitangaza kwanzia mwezi wa nne na nyingine mwezi wa tano ila sasa tupo wa nane na bado hawajita watu kwenye usahili.
Una uhakika utapata mtakapoitwa?Kuna kazi Utumishi walitangaza kwanzia mwezi wa nne na nyingine mwezi wa tano ila sasa tupo wa nane na bado hawajita watu kwenye usahili.
Sawa asante 🙏🏿Copy & Paste
Kuwa na subira wataita tuu
Punguza mchecheto!
Badala yake tumia nafasi (chance) hiyo ya kuchelewa kwao kwa wewe kujiandaa zaidi na zaidi; ushindani huwa ni mkubwa sana (watu huwa ni wengi)
Inasemekana kwa sasa wako katika mikoa na wilaya mbalimbali za Tanzania kusimamia michakato ya ajira za Halmashauri za watendaji wa vijiji, watunza kumbukumbu, madereva, na makatibu mahsusi (muhtasi)......zamu kwa zamu
Asante kwa maoni yakoAcha kiherehere na Mhao,wakati unasubiri hizo nafasi kuitwa kwenye Interview ni vema ukafanya shughuli nyingine ya kujiongezea kipato kuliko kupoteza muda kuanzisha Mada JF,unategemea Utumishi wana Ofisi JF kwamba watakujibu??Non sense
😅 inabidi ukubaliane na majibu yote maana hakuna namna .. wapo watakao kusaidia na majibu na wapo ambao watakujibu kwa namna wanavyoona wao cha msingi ni kuchukua majibu yenye msaada na swali nililoulizaMkuu humu JF sio kila mtu anamoyo wa kusaidiia watu wanachuki mnoo wengine.
Sasa kama mtu hataki kukusaidiia si akaushee kuliko kujibu majibu kama haya yasiyo na Utu.
watu kama hawa wakipewa teuzi ndio wanakujaga kusema Vijana tuji ajiriii.
Waitaji watakuwa kwenye sensa, subir zoez liisheKuna kazi Utumishi walitangaza kwanzia mwezi wa nne na nyingine mwezi wa tano ila sasa tupo wa nane na bado hawajita watu kwenye usahili.