Utumishi wanaposema MDS and local Government wana maana gani?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Hivi utumishi wanaposema MDs ndio wana maana gani?

Mfano kazi za afisa biashara, mtu ukibahatika kupata ndio kusema utapelekwa huko Nanjilinji vijijini au ndio utakua Dar es Salaam tu?
 
Kazi za utumishi jiandae kwenda popote
 
MDA inahusisha pia Ministries, ni Ministries, Departments and Agencies, Agencies ndo hizo ulizotaja hapo
Kwa hiyo mtu unaweza kunyakua mrija wa Asali NHIF kupitia MDAs?
 
Hivi utumishi wanaposema MDs ndio wana maana gani?

Mfano kazi za afisa biashara, mtu ukibahatika kupata ndio kusema utapelekwa huko Nanjilinji vijijini au ndio utakua Dar es Salaam tu?
ukitaka guarantee ya kuishi dar au mijini kaombe kazi kwa wahindi siyo utumishi wa umma.
 
MDA's=M stands for Ministries,
D stands for Independent Departments eg Tume ya Uchaguzi, n. K, A stads for Executive Agencies
LGA's
Local Government Athorities (Serikali za mitaa,, kwa maana ya Halmashauri za Miji, majiji na Wilaya)
MDA:Ni mashirika ya Umma
Tanesco, TPA, TRA, NHIF etc
 
Back
Top Bottom