Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Mwarabu aliuza weusi ni kosa hilo je, mzungu aliyenunuwa naye si alitenda kosa? Mwarabu hakuwa na mashamba ya kulimisha watumwa ila mzungu.Mwarabu anahusika na matatizo ya Africa kama kielelezo kinavyoonesha hapo ukutani.
Ungemalizia "na kumiliki visima vya mafuta"Wewe tatizo Dini yako sio watu wa elimu hujui historia umekalia kucheza bao na kusali ovyo.