"Utundu wa malavidavi ndio Silaha yangu kubwa ya Kuwapagawisha Wateja wangu kitandani" Baby Madaha

"Utundu wa malavidavi ndio Silaha yangu kubwa ya Kuwapagawisha Wateja wangu kitandani" Baby Madaha

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Wakati kukiwa na madai kuwa msanii Baby Madaha anatumia dawa za kienyeji kuwateka wanaume kimapenzi, mrembo huyo ameibuka na kusema kuwa siri ya kuwateka wanaume ni utundu wake kitandani....

Akiongea na mwandishi wetu, Baby Madaha amedai kuwa tuhuma za kutumia dawa za kienyeji hata yeye amezisikia tu, lakini wote wanaomtuhumu hivyo ni kwamba hawamjui yukoje anapokuwa kitandani...

Alisema kuwa utundu wake anapokuwa kitandani ndo siri ya kuwateka wanaume kwani huzingatia sheria na kanuni zote za maandalizi ya tendo hilo pindi awapo na mteja wake kitandani....

Madaha aliongeza kuwa hata huyu mkenya aliye naye watu wanasema kamuwekea dawa.Ukweli ni kwamba yeye hajatumia dawa yoyote bali karidhika na mapishi yake ya chumbani...

"Situmii dawa yoyote.Ni ufundi wangu tu ninapokuwa kitandani na mwanaume. Nayajua mapishi na najua njia zote za kumpagawisha mwanaume hata awe mgumu kiasi gani"...Alisema baby Madaha
 
Kuwa na dada au ndugu huko bongo movie inahitaji moyo wa chuma.unawezaje kusoma huu utumbo kama anayeongea ni dada yako.
 
Mh!hivi hawa watu wana wazazi?au wametoka kwenye miti?mana mambo yao utadhan hawana wazaz

uwa wana wazazi na ndugu sema wanajiona ma super star wanaweza kuongea lolote. yani hawana adabu kabisa sijui ndugu zao wanajisikiaje
 
Kuwa na dada au ndugu huko bongo movie inahitaji moyo wa chuma.unawezaje kusoma huu utumbo kama anayeongea ni dada yako.

ukiwa na mchumba wako bongo movie hesabu maumivu.
sijui wazazi wao wanajisikiaje
 
Wazazi watasemaje wakati hao hao watoto wao ndo wanawaweka mujini,yupo kwenye promotion mwacheni,biashara matangazo,umaskin mbay asikwambie mtu..
 
Huyu ana tofauti gani na changudoa wa mitaa ya Ohio?
 
Hivi kweli huyo msanii ni kioo cha jamii? Jamii inajifunza nn katika hilo?
 
Huyu ana tofauti gani na changudoa wa mitaa ya Ohio?

hakuna tofauri,tofauti yao mmoja anajipanga barabarani wakat mwingine unampigia simu na kumwambia nina sh.kadhaa
 
laki 6 ila ukitaka umbebe siku nzima andaa million 1

Mkuu wangu Money Stunna,

Huyu demu hana "K" ya kugharimu hela zote hizo. Hata ukiongezea na hayo mautundu yake anayojisifia still bado figures zimekua juu sana.

Mimi sana sana kwa short time labda nimpe "mwekundu" mmoja, na kulala labda tuseme "wekundu" watatu. Hapo kwenye kilo 6 labda anipe kila siku kwa miezi sita labda
 
Last edited by a moderator:

mwekundu mmoja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hawana lolote wamechoka Mby waone kwenye picha tu sio live HUYU kana show ya p2 na gauni la manzese jasho mpk takoni wajipange
 
Back
Top Bottom