Utundu wangu unaniweka matatani

 
Jamii forum watu hawataki mamboo ya maendeleo ya makumbusho ya elimu jamii forum hata maadmin wanataka mambo ya mapenzi tu ndio maana hadi nawewe imeona na unaandika
 
Hamna lolote hapa. Sana sana unajaribu kutushawishi kuwa we fundi kitandani!!!! Kazi unayo!!
 
Anaweza kujiua nikimuacha πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Siku unapakwa mafuta, uonyeshe utundu huo huo ukuni unapokuingia.

Ni utoto kujisifia kula mke wa mtu. Bibie yupo sawa, hatokaa akuache mpaka wote wawili mkose.

Yeye akose mume na wewe ukose marinda.
Hata makazini, wake za watu wale pisi kali wanachangamoto zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…