Utundu wangu unaniweka matatani

Mwanaume anatakiwa awe na vitu vitatu tu.
  • Uwezo wa kuhudumia familia (uchumi)
  • Uwezo wa kufanya shoo ya kibabe
  • Awe na mvuto (handsome)
 
Alafu inakuaje mwanaume wa kweli unamfuata dem alipo badala utume nauli dem akufuate dogo ungekua kule kweltu kanda maalumu tushakutenga huna sifa za kua mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…