Utundu wangu unaniweka matatani

Mke wa mtu sumu yupo dokta mmoja wa mifugo alikuwa na tabia ya kula sana wake za watu arobaini yake ikafika akakamatwa na jamaa anakula mke wake kwenye kitanda chake yule jamaa alichofanya ni alimchoma na ile sindando ya dawa za ng'ombe kwenye mwili wake adi dawa zote alikuwa anazitumia kutibi mifugo zikamuishia alafu jamaa akamwambia sasa unaweza kuondoka huwezi amini yule Dokata baada ya kuachiwa pale alikinbilia hospitali lakini alifariki.Hivyo ndugu acha wake za watu acha kabisa ata kama anakusifia kiasi gani ila acha utakufa mapema .
 
Hawa ndio wanaume wajinga duniani. Yaani mke wako agawe mbususu mwenyewe alafu wee unaenda kumuua mwanaume mwenzio na kumbakisha mke.
 
Condom na Lotion vimeandaliwa kwa ajili yako.
 
Mke wa mtu na mume wa mtu, mnaoneana wivu hadi kutaka kutoboana matumbo duh ndiyo maana wakaka wanasita kuoa kwa sababu hizi.
 
Tunachokijua: ni kwamba tangazo limeeleweka acha mijimama ya zamani (namba A, na B) ambayo inahitaji mautundu ikuje inbox ila kuwa makini humu pia kuna mamende!
ha ha ha; kwa usawa huu siwezi kulipa bill
 
Wezangu mnawezajw kudumu dakika 47 bila kumwaga wadhungu? Mie mbona dakika mbili hazifiki namwaga?🤔🤔🤔🤔
Punguza hofu, pia unapokuwa naye jaribu kuhamisha mawazo; unachochea moto huku ukiwaza ada za watoto mwakani
 
Ukishakuwa na hawa watu, lazima uangalie usalama wako kwanza; wengine uenda kuwala nje ya nchi, au kwenye semina za kikazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…