Utunzaji wa nywele za asili

Kwanini usitafute mafuta ya kukiboresha kipilipili chako mkuu na sio kukibadili
 
Mimi nanyoaga

Ngoja na mm nisubir labda kuna mafuta ya kuzifanya ziwe na ushirikiano
 
Baada ya masaa mawili zinarudi kuwa kipilipili? Kwa hayo masaa mawili zinakuwa sio kipilipili?

Jikubali kuwa una kipilipili au zibadili ziwe straight hakuna janjajanja!
 
Baada ya masaa mawili zinarudi kuwa kipilipili? Kwa hayo masaa mawili zinakuwa sio kipilipili?

Jikubali kuwa una kipilipili au zibadili ziwe straight hakuna janjajanja!
Hapo alimaanisha akizichana zinanyooka ila baada ya masaa mawili zinarudi kujiviringisha tena,

Ndio tabia kuu ya nywele za kipilipili hata kuzichana kwake wengi mpk atie maji kichwani bila hivyo akichana ni kama vile anaondoka na kichwa.
 
Nyoa
 
Ni mafuta mazuri sana sana.... na bei yake pia ni nzuri sana.
 

Attachments

  • 7faa60830801551e107337c2fd6f0468.png
    58.7 KB · Views: 158
Uwe unaziwahi mkononi halafu unapaka, wiki tu zimenyooka, ile protini kiboko.
 
Thanks luvie.. Yaani kesho shopping. Weekend nafanya mambo na kipilipili changu
 
ubarikiwe, mpenzi. Thanks for sharing. Shule nzuri kwa sisi naturalista
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…