Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Wapo lkn ni wachache sana,wanaowek dawa na kuzitunza, kwanini upara na ww?Kwanini umewaita ladiea peke yake? Unadhani hakuna wanaume wanaotunza nywele!
By the way mimi ni kipara pure kabisa!
Dark&lovely relaxer....,mchemsho wa Karafuu steaming...,kusuka mwezi ukipita after relaxer
Nunua packet 1 ya karafuu ya sh 500 ..,weka maji lita 1 ya maji chemsha.yale maji oshea au sugulia nywele zikiwa zishakuwa safi....imeisha hiyoHuu mchemsho wa karafuu unatumiaje?
Naona umenitamanisha
Mega kwakwel naona ni nzuri + mafuta yake,steaming ivi inategemea na nywele au?au ukishawk dawa unatumia steaming yyte?Uzi mzuri huu
Mie relaxer nayotumia ni Mega growth
Steaming natumia hair mayonnaise
Mafuta natumia ya olive
Dawa huwa naweka kwa mwaka mara nne...yaani kila baada ya miezi mitatu
Steaming naweka mara mbili tu kwa mwezi ama mara moja sometimes
[emoji23] labda m2 upende mwenyew lkn mwanamke nywele bhanaaaa...though sna kichwa kibaya nkinyoa napendez tu lkn nywele kwa mwanamke n bora zaidWakina dada nywele zinawa taabishana kubwa gharimu pakubwa ,mbona mtindo huu ni mzuri sana unavutia na una kuacha katika uasili wako!View attachment 2908716
Mega kwakwel naona ni nzuri + mafuta yake,steaming ivi inategemea na nywele au?au ukishawk dawa unatumia steaming yyte?
Ya yapo bei saiv rejarej 12/ 15 inacheza umo,mwanzon nilinunua 10 mazurMega ina mafuta yake?
Mie steaming yangu ikiisha huwa naweka yoyote tu nitakayoikuta salon
Kazi ipoTahadharini tu na hizo relaxers, zina chemicals fulani ambazo ni 'endocrine inhibitors' zinazosababisha hormonal imbalance na baadae cancer ya uterus. Hivi sasa wamama fulani walioathirika wa marekani tayari wamefungua kesi ya madai ya mamilioni ya madola kuwa hawakupewa taarifa kuwa zinaweza kusababisha cancer.
Athari inatokea kwa wale wanaotumia relaxers kwa muda mrefu.
Tunapeana taarifa tu, hata mimi nilikuwa mtumiaji kwa muda mrefu sana (1983-2015!) lakini baadae nilichoka na kuamua kuacha kuweka relaxer. Shida ilikuja ukizoea kuweka relaxers unashindwa kuzihudumia nywele na unaona kama hazipendezi vile.Kazi ipo
Kwa hiyo hapo unakuwa ndo umesha steam ivo.? Hii mpya kwangu.Nunua packet 1 ya karafuu ya sh 500 ..,weka maji lita 1 ya maji chemsha.yale maji oshea au sugulia nywele zikiwa zishakuwa safi....imeisha hiyo
Imeisha hiyoKwa hiyo hapo unakuwa ndo umesha steam ivo.? Hii mpya kwangu.
mie ni naturalista!..natumia cantu products..ila nahis nimechoka ...natamani kurudi kwa relaxer