achengula
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 369
- 62
Kutupa mimba ni kitendo chacha kutolewa kwa mototo wa ngombe nje ya mfumo uzazi na mara nyingi akiwa amekufa kunakotokea kati ya siku ya 42 hadi siku takribani ya 260 kabla ya siku zake za kuzaa kawaida. Mimba yeyote inayopotea kabla ya siku ya 42 inajulikana kama kifo kiinitete (embryonic death) na kile kinachotokea kati ya siku 260 na muda wa kawaida wa kuzaa hujulikana kama ndama asiye riziki (stillbirth). Kutupa mimba isiyozidi mitano kwa kila ngombe 100 kwa mwaka huonekana kitu cha kawaida katika shamba, ingawa kila upotevu wa ndama mmoja katika hatua yeyote ile una maana kubwa sana kwa upande wa kipato wa mfugaji. Malezo zaidi endelea hapa SEKTA YA MIFUGO TANZANIA