Utupaji mimba kwa ng’ombe (abortion in cattle)

achengula

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
369
Reaction score
62
Kutupa mimba ni kitendo chacha kutolewa kwa mototo wa ng’ombe nje ya mfumo uzazi na mara nyingi akiwa amekufa kunakotokea kati ya siku ya 42 hadi siku takribani ya 260 kabla ya siku zake za kuzaa kawaida. Mimba yeyote inayopotea kabla ya siku ya 42 inajulikana kama “kifo kiinitete” (embryonic death) na kile kinachotokea kati ya siku 260 na muda wa kawaida wa kuzaa hujulikana kama “ndama asiye riziki” (stillbirth). Kutupa mimba isiyozidi mitano kwa kila ng’ombe 100 kwa mwaka huonekana kitu cha kawaida katika shamba, ingawa kila upotevu wa ndama mmoja katika hatua yeyote ile una maana kubwa sana kwa upande wa kipato wa mfugaji. Malezo zaidi endelea hapa SEKTA YA MIFUGO TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…