Uturuki imezuia meli ya Urusi iliyobeba ngano

Uturuki imezuia meli ya Urusi iliyobeba ngano

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
13,265
Reaction score
4,735
Nimeona taarifa hii ya kushangaza kwakuwa niliamini kuwa Uturuki yuko upande Urusi lakini leo hii Serikali ya Uturuki imezuia meli iliyosheheni ngano, yasemekena ngano hiyo iliibiwa Ukraine. Meli hiyo imezuiwa kwa ombi la Ukraine.

Najiuliza: Putin hataanza kuirushia makombora Turkey?

==========

Ukraine says Russian ship carrying Ukrainian grain detained by Turkey​

KEY POINTS
  • Turkish customs authorities have detained a Russian cargo ship carrying grain that Ukraine says is stolen, Ukraine’s ambassador to Turkey said on Sunday.
  • Ukraine had previously asked Turkey to detain the Russian-flagged Zhibek Zholy cargo ship, according to an official and documents viewed by Reuters.
FILE PHOTO: Russian-flagged cargo ship Zhibek Zholy is seen off the coast of Black Sea port of Karasu, Turkey, July 2, 2022. REUTERS/Yoruk Isik/File Photo

Russian-flagged cargo ship Zhibek Zholy is seen off the coast of Black Sea port of Karasu, Turkey, July 2, 2022.
Yoruk Isik | Reuters

Turkish customs authorities have detained a Russian cargo ship carrying grain that Ukraine says is stolen, Ukraine’s ambassador to Turkey said on Sunday.

Ukraine had previously asked Turkey to detain the Russian-flagged Zhibek Zholy cargo ship, according to an official and documents viewed by Reuters.

Reuters reporters saw the Zhibek Zholy ship anchored about 1 km from shore and outside of the Karasu port on Sunday, with no obvious signs of movement aboard or by other vessels nearby.

“We have full co-operation. The ship is currently standing at the entrance to the port, it has been detained by the customs authorities of Turkey,” Ambassador Vasyl Bodnar said on Ukrainian national television.

Bodnar said the ship’s fate would be decided by a meeting of investigators on Monday and that Ukraine was hoping for the confiscation of the grain.

Ukraine has accused Russia of stealing grain from the territories that Russian forces have seized since Moscow’s invasion began in late February. The Kremlin has previously denied that Russia has stolen any Ukrainian grain.

A Ukrainian foreign ministry official, citing information from Ukraine’s maritime administration, told Reuters on Friday the 7,146 dwt Zhibek Zholy had loaded the first cargo of some 4,500 metric tons of Ukrainian grain from Berdyansk, a Russian-occupied port in south Ukraine.

The region’s Sakarya port authority was not immediately available for comment. Turkey’s foreign ministry did not immediately respond to a request to comment.
 
Kwani hao US na Nato wameiba vingapi? tulia tubeba mali
Urusi imefilisika ngano hata ubebe meli mia ngano ya wizi zitaweza endesha vita? Hata kifaru kimoja tu hununui ukilipwà pesa ya hiyo ngano

Wanahaha kutafuta pesa

Watanzania kuiba hadi maandaxi na chapati kwa mama nitile wa Ukraine

Jeshi la Urusi limeehuka
 
Eti Urusi imefilisika,kuwa na akiba ya maneno!Ngoma Bado mbichi kabisa!
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Eti Urusi imefilisika,kuwa na akiba ya maneno!Ngoma Bado mbichi kabisa!
Urusi imefilisika hela

Ina mi stock mikubwa ya silaha na wananajeshi lakini pesa hana

Wanajeshi watalipwa .mishahara vifaru au mabomu?
 
Urusi imefilisika hela

Ina mi stock mikubwa ya silaha na wananajeshi lakini pesa hana
Kwahiyo tutegemee Nini?Atashindwa kuendesha vita au?
Hujui kuwa China na India wananunua gas na mafuta kutoka Russia kuliko ilivyokuwa inanunuliwa na EU nzima kabla ya vita?
Mtaifa wamelialia kuwa Urusi amezuiwa chakula,Sasa kaachia bado ni malalamiko!
 
Wananunua kwa hela isiyo na thamani ya pesa ya kichina na rupees za India kubadili Ruble za Urusi sio dola au Euro au Yen ya Japan

Warusi wanahaha kutafuta pesa za kigeni zenye nguvu ndio wanaiba ngano Ukraine kuuza magendo nchi zingine
 
Urusi imefilisika hela

Ina mi stock mikubwa ya silaha na wananajeshi lakini pesa hana

Wanajeshi watalipwa .mishahara vifaru au mabomu?
Mwanamke akiachwa Bana anabaki kulia Lia Tu
 
Ngoja tusubiri kitakachojili
Rais wa Uturuki mjanja sana, hapo anawachezea akili NATO wenzake specifically US - mwisho wa siku Meli hiyo utaachiwa MA kuendelea na safari yake kama kawa.

Rais wa Uturuki hawezi kusahau wema wa Rais Putin alivyo mnusuru wakati wa jaribio la kumpiduwa Rais wa Uturuki, anajuwa fika kwamba njama hizo zilisukwa na CIA, therefore anajuwa marafiki wake wa kweli ni akina NANI.
 
Back
Top Bottom