Uturuki inaituhumu Israel kwa genocide kwa Wapalestina. Je, wao wamesahau walichowafanyia Wakristo wa Armenia?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Mamlaka ya uturuki iliwaua Waarmenia kati ya 600,000 hadi 1,500,000.

Mnamo tarehe 24 Aprili 1915, mamlaka ya Ottoman ilikamata na kufukuza mamia ya wasomi na viongozi wa Armenia kutoka Constantinople.

Kwa amri ya Talaat Pasha, wastani wa Waarmenia 800,000 hadi milioni 1.2 walipelekwa kinguvu kwenye Jangwa la Syria mwaka wa 1915 na 1916.

Wakiwa wana pelekeshwa kinguvu na wanajeshi, waliohamishwa walinyimwa chakula, maji na kufanyiwa unyang’anyi, kubakwa na kuuliwa. Katika Jangwa la Syria, walionusurika walitawanywa katika kambi za mateso.

Mnamo 1916, wimbi jingine la mauaji lilifanyika huku likiwaacha pekee wahamishwa wapatao 200,000 wakiwa hai hadi kufikia mwisho wa mwaka.

Takriban wanawake na watoto 100,000 hadi 200,000 wa Armenia waligeuzwa kwa lazima kuwa Waislamu na kujumuishwa katika kaya za Kiislamu.

Mauaji haya ya halaiki yalikomesha zaidi ya miaka elfu mbili ya historia ya Armenia katika mashariki Anatolia. Pamoja na mauaji ya halaiki na kufukuzwa kwa Wakristo na Waorthodoksi, iliwezesha kuundwa jaamhuri ya uturuki.

Screenshot_20241004-104425.png
 
Kitu ambacho unakificha kwa makusudi au labda ni ujinga ni kuwa genocide dhidi ya waArmenia ilifanywa na Turkish Nationalists (the Young Turks) ambao walikuwa ni masekula na wanaoipinga Dola ya Ottoman.

Watu ambao sio ajabu unawaunga mkono. Ottomans wakati huo walishakuwa dhaifu kabisa na wanaelekea kuporomoka. Na hao Turkish nationalists ndio walioimalizia.

Hao hao waliowabamiza waarmenia.
 
Uturuki ni waislamu, wao mtu ni muislamu wengine ni makafiri!
Turkish nationalists walikuwa ni masekula. Ndio walioimalizia Ottoman Empire na ndio walio commit hiyo genocide dhidi ya waarmenia.
 
Huyu uturuki ndie anategemewa hapo ARAB WORLD pamoja na SAUDIA na IRAN kwamba ndo wanaweza mshawishi myahood asi extend operations zake lakini TURKEY na SAUDIA machawa hawa wa USA wameegemea kwa myahood huku IRAN akiwa against na myahood
 
Kitu ambacho unakificha kwa makusudi au labda ni ujinga ni kuwa genocide dhidi ya waArmenia ilifanywa na Turkish Nationalists ku(the Young Turks) ambao walikuwa ni masekula na wanaoipinga Dola ya Ottoman. Watu ambao sio ajabu unawaunga mkono. Ottomans wakati huo walishakuwa dhaifu kabisa na wanaelekea kuporomoka. Na hao Turkish nationalists ndio walioimalizia. Hao hao waliowabamiza waarmenia.
Huwa hamkubali ukweli nyie mabikra 72

Kuua kwenu mkristo ni sawa na sherehe

Kwa hio sikushangai
 
Huwa hamkubali ukweli nyie mabikra 72

Kuua kwenu mkristo ni sawa na sherehe

Kwa hio sikushangai
Wewe andika kejeli. Mimi sikujibu kejeli. Ila ukweli ndio huo. Turkish nationalists ndio wali fanya hiyo genocide dhidi ya wa Armenia.
 
Sisi ni kejeli kwenu

Maana huwa mnajifanya mna ukweli wenu maalum

Wakati nyie ni itikadi kubwa ya kitapeli.
 
Yanasemwa tu ya israel na usa ndugu

Ila wao hawataki yao kusemwa
Waislam ni watu wabaya wakipata upenyo wa kufanya wanachotaka wao mawazo yao yote ni kuuwa watu wasio wa dini yao ili mladi wakapate bikira 72
 
Matapeli tu mkuu

Utapeli uliokubarika kwa mamilioni ya waty
 
Sisi ni kejeli kwenu

Maana huwa mnajifanya mna ukweli wenu maalum

Wakati nyie ni itikadi kubwa ya kitapeli.
Uislam ndio Ukweli. Wala hatuogopi kusema hili. Na tunamshukuru Allah kwa neema ya Uislam. Hatujifichi wala hatuoni aibu.

Naona unaanzisha manyuzi mengi mengi ili kuuchafua Uislam. Unadhani utashinda? Wewe subiri tu hii Dini tukufu iingie mpaka lnyumbani kwako.
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂

Matapeli hahaha danganya watoto
 
Mamlaka ya uturuki iliwaua Waarmenia kati ya 600,000 hadi 1,500,000.

Mnamo tarehe 24 Aprili 1915, mamlaka ya Ottoman ilikamata na kufukuza mamia ya wasomi na viongozi wa Armenia kutoka Constantinople.

Kwa amri ya Talaat Pasha, wastani wa Waarmenia 800,000 hadi milioni 1.2 walipelekwa kinguvu kwenye Jangwa la Syria mwaka wa 1915 na 1916.

Wakiwa wana pelekeshwa kinguvu na wanajeshi, waliohamishwa walinyimwa chakula, maji na kufanyiwa unyang’anyi, kubakwa na kuuliwa. Katika Jangwa la Syria, walionusurika walitawanywa katika kambi za mateso.

Mnamo 1916, wimbi jingine la mauaji lilifanyika huku likiwaacha pekee wahamishwa wapatao 200,000 wakiwa hai hadi kufikia mwisho wa mwaka.

Takriban wanawake na watoto 100,000 hadi 200,000 wa Armenia waligeuzwa kwa lazima kuwa Waislamu na kujumuishwa katika kaya za Kiislamu.

Mauaji haya ya halaiki yalikomesha zaidi ya miaka elfu mbili ya historia ya Armenia katika mashariki Anatolia. Pamoja na mauaji ya halaiki na kufukuzwa kwa Wakristo na Waorthodoksi, iliwezesha kuundwa jaamhuri ya uturuki.

Uturuki anamtuhumu Netanyahuu ila haoni alichofanya kwa wakurdi
 
Acha tu mkuu

Shetani ajisemagi yeye ni shetani
Huyu Edrogan huwa anamtuhumu sana Netanyahuu kuhusu palestina ila yeye ameteketeza wakurdi sana yaani waislamu huwa ni wanafiki na lia lia wanachokifanya wao huwa hawajioni ila wanayaona ya wenzao
 
Back
Top Bottom