Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Edurgan akili zake anazijua mwenyewe hivi anacho ngangania nchini siria nini siaondoke.
Israel inayosemekana ni taifa la Mungu ni hii ya Mashariki ya kati ama ni ya kufikirika? Mungu alimwambia nani,wapi na lini?Dah mnapoambiwa mkiilaani Israel mtaalaaniwa. Mkiibariki mtabarikiwa. Wote hao wawili Turkey na Syria maadui wakubwa wa taifa la Mungu wa kweli. Shauri zao. MBS mjanja ona anavyozidi kubarikiwa
Aiseee chalii yangu nimezaliwa nikiamini hivyo. Hamna namna nikuipenda tu.Israel inayosemekana ni taifa la Mungu ni hii ya Mashariki ya kati ama ni ya kufikirika? Mungu alimwambia nani,wapi na lini?
Hongereni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah mnapoambiwa mkiilaani Israel mtaalaaniwa. Mkiibariki mtabarikiwa. Wote hao wawili Turkey na Syria maadui wakubwa wa taifa la Mungu wa kweli. Shauri zao. MBS mjanja ona anavyozidi kubarikiwa