Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Baada ya kuona wadau wanaanza kuleta habari za mwisho wa dunia na wengine kusema huenda kuna mabomu / silaha zinazosababisha haya majanga, naomba tujikumbushe kwamba Matetemeko kwa Uturuki sio jambo la ajabu na on record yalishatokea hata miaka ya 1900 na kuua zaidi ya watu laki mbili.
Kwahio mfano tunajua kabisa kwamba Mlima Kilimanjaro haujafa na siku Volcano ikifanya yake tusiseme tumemkosea nini Mungu au Mungu anatuadhibu bali tuendelee kuishi huku tukijua inevitability (kwamba kuna siku inaweza kutokea).
Source: Wikipedia - List of earthquakes in Turkey