carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Ni wanachamaHivi Indonesia haiko BRICS? Why?
BRICS ina wanachama wangapi as of today. Mention them.Ni wanachama
Pamoja na Saud Arabia wanafika 11 (Kumi na moja).BRICS ina wanachama wangapi as of today. Mention them.
Ok. Hizi alliances zimezidi sasa. Kama sijakosea hao hao Uturuki, Pakistan, Saudi Arabia nadhani na UAE ni juzi tu hapa walizindua Mecca Pact muungano wa kijeshi. Leo tena miongoni mwao wanezindua mwingine. Miongoni mwao wamo BRICS! Duh!Pamoja na Saud Arabia wanafika 11 (Kumi na moja).
Bado kuna nchi zinafikiria kujiunga
Israel? Ndio waungane wote hao dhidi ya kinchi kidogo vile? I don't think.Watu wanajilinda na Israel.. wamegundua Israel yupo serious na mpango wake wa greater Israel.. Israel kwa eneo lake anajua halitoshi akiwa kazungukwaa na manchi makubwa ya Kiarabu. Israel hana mchezo kwenye usalama wake.
Uturuki, Qatar, Indonesia na Pakistan zimesaini makubaliano ya ushirikiano wa ulinzi yanayojulikana kama Badr, yenye lengo la kuimarisha uwezo wa kijeshi na kukuza ushirikiano wa kimkakati kati ya nchi hizo.
Wizara ya Ulinzi ya Uturuki imesema Jumatano kuwa makubaliano hayo yamesainiwa mjini Doha, Qatar, na mawaziri wa ulinzi wa nchi hizo nne au wawakilishi wao.
Makubaliano hayo yanahusisha ushirikiano katika uzalishaji wa vifaa vya kijeshi, mafunzo ya kitaalamu, utafiti na maendeleo ya teknolojia ya ulinzi, pamoja na kuimarisha uwezo wa kijeshi wa nchi husika.
Aidha, mpango huo unalenga kuunganisha uwezo wa viwanda vya ulinzi vya nchi hizo ili kuongeza uzalishaji, kuboresha teknolojia na kukidhi mahitaji ya nchi washirika na rafiki.
Wizara hiyo imeeleza kuwa makubaliano hayo yanatarajiwa kupanua ushirikiano wa kijeshi na kuimarisha uhusiano wa sekta ya ulinzi, kwa lengo la kusaidia usalama, utulivu na kufikia malengo ya pamoja.
Chanzo : Anodolu Ajinsi
Nchi pekee ambayo ukisaini nayo mkataba wa ulinzi na inakupa ulinzi ni IRAN peke yake. Hao wengine wapimia maji tu. Mkataba wa Mecca mbona huyo Uturuki na Pakistan hawajaufanyia kazi!? Wote makunguru hao.Uturuki, Qatar, Indonesia na Pakistan zimesaini makubaliano ya ushirikiano wa ulinzi yanayojulikana kama Badr, yenye lengo la kuimarisha uwezo wa kijeshi na kukuza ushirikiano wa kimkakati kati ya nchi hizo.
Wizara ya Ulinzi ya Uturuki imesema Jumatano kuwa makubaliano hayo yamesainiwa mjini Doha, Qatar, na mawaziri wa ulinzi wa nchi hizo nne au wawakilishi wao.
Makubaliano hayo yanahusisha ushirikiano katika uzalishaji wa vifaa vya kijeshi, mafunzo ya kitaalamu, utafiti na maendeleo ya teknolojia ya ulinzi, pamoja na kuimarisha uwezo wa kijeshi wa nchi husika.
Aidha, mpango huo unalenga kuunganisha uwezo wa viwanda vya ulinzi vya nchi hizo ili kuongeza uzalishaji, kuboresha teknolojia na kukidhi mahitaji ya nchi washirika na rafiki.
Wizara hiyo imeeleza kuwa makubaliano hayo yanatarajiwa kupanua ushirikiano wa kijeshi na kuimarisha uhusiano wa sekta ya ulinzi, kwa lengo la kusaidia usalama, utulivu na kufikia malengo ya pamoja.
Chanzo : Anodolu Ajinsi
Israel ni ndogo kijiografia ila ni kubwa kijeshi na kiushirika. Israel nyuma yake kuna EU na Marekani unadhani padogo hapo!?Israel? Ndio waungane wote hao dhidi ya kinchi kidogo vile? I don't think.
Israel ni ndogo kijiografia ila ni kubwa kijeshi na kiushirika. Israel nyuma yake kuna EU na Marekani unadhani padogo hapoIsrael? Ndio waungane wote hao dhidi ya kinchi kidogo vile? I don't think.
Hapana Israel mjanja anataka kuwapiganisha hao kama majogoo wakichoka. Yeye anakuja na kisu na kukata shingo tu.Watu wanajilinda na Israel.. wamegundua Israel yupo serious na mpango wake wa greater Israel.. Israel kwa eneo lake anajua halitoshi akiwa kazungukwaa na manchi makubwa ya Kiarabu. Israel hana mchezo kwenye usalama wake.
Turkey anachezea kamba Nyembamba NATO,Allah Azibariki Nchi ya
Uturuki yupo Mecca, NATO na sasa Badr. Anatafuta nini?