Uuh.. Huyu msichana mpya hapa ofisini...

ndo maana huwa mnaharibu kazi kwa mambo ya kipuuzi,na bila shaka ofisi yenu haina shughuli za msingi ndo maana unapata mpaka muda wa kumchunguza binti wa watu.na kama unampenda c umwambie,akikukalisha utulie
 
Inaonekana wewe pia ni mpya kwenye hizi mambo, I wish nikualike ninapopiga mzigo halafu ndio uje tena hapa. Piga kazi jooh achaga mambo za kukodole macho vitu vya watu utan'golewa kucha.
 
Mpige picha halafu irushe tuone. Ndio ntaweza toa ushauri madhubuti.
 
Heh kumbe uko kwenye ndoa!! Mkeo analo, aniways nimependa style yako ya uandishi inavutia kusoma

Woow!... u made my day. Sijawai kusifiwa hapa JF. Wewe ni wa kwanza. Thanks for compliment. Angalia na post zangu nyingine zilizopita.
 
mkuu hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja!swala anachezea sharubu za simba unafanyaje?onja kata mawasiliano usiloee
 
Woow!... u made my day. Sijawai kusifiwa hapa JF. Wewe ni wa kwanza. Thanks for compliment. Angalia na post zangu nyingine zilizopita.
Mh una tumaneno teh teh no wonder kadada kanakutega hahah! Thnx n karibu
 
sarikoki tafuta muda ukae na mke wako mtoe hata out umalize mambo yako mzungumze kwa kirefu na kufuta tofauti zenu
:haina maana kumsifia mtu wa nje wakati mkeo ana kila sifa ya kuwa mke mwenye sifa
Waachie hao vijana haya mambo sio wewe
 
Last edited by a moderator:
Kaka huo mtego kweli,usiombe mola wako jujuu,piga magoti na ikiwezekana funga kabisa ili usishawishike maana huyo ni shetani anakusalandia na akishakuingiza kingi ukala tundi tu umeumia,utaacha mke na wanao wanateseka kisa mapenzi yake ya wiziwizi-mara kanyon...dudu,mara masikio,mara akulilie kisa hujamdo nk.nk.....Just be careful you are under temptation.kama ikiwezekana hayo mapigo anayopiga mpige mkeo utamuona huyo kama kimeo tu.
 
Huyu ni dhaifu tu, hakuna zaidi ya hapo
 
Jilie na condom huo mzigo mapema kabla hajachukuliwa na mwingine alaf ukaja kulia hapa jamvini

NB: ukimwi hupo!
 
Jiaminishe kuwa ana UKIMWI au tengeneza kasoro yoyote, ambayo uiamini na hivyo itasaidia. The other thing jitahidi uwe serious na usiintertain jokes; kama ulivyoweza kuruka vihunzi vya yule neighbor wako aliyetaka umuwekee luku ndivyo utahavyoshinda na hivi.

Shetani anakuonea wivu jinsi ulivyo mwaminifu kwa Mungu na mkeo, ndio maana anakusogezea vishawishi.
 

Mhhhhhhh.....
 

Thanks a lot Kaunga... ugumu unakuja tuko naye kuanzia asubui mpaka jioni... boss kamkabizi kwangu... chochote atakachokuja kuniuliza siwezi ignore maana kakicomplain nitapata shida... mwanzo nilizarau lakini siku zinavyokwenda naona its getting out of hand.... unajua ukweli huwezi kuubadili, utabaki ni ukweli tu.. this girl it HOT!
Kuanzia uvaaji ... manukato... mpaka kuongea.
Kukamega siwezi ila nateseka. Man!
 
Anataka huyo mpe haki yake ila angalia asije akawa ametumwa na wife/girlfriend wako akupime ndio utakosa vyote.
 

Nilishawahi patwa na tatizo kama hili, ila nililitatua hivi: Nilimshauri mama HP Junior kubehave kama huyo wa ofisini anavyofanya na baada ya muda nikazoe mtego wa ofisini nikawa hata sistuki maana ni kitu cha kawaida.
Hata wewe unaweza kumshauri mkeo avae vzr (mnunulie nguo zinazokuvutia na perfume za bei kubwa nzuri na viatu bomba) na kupuliza perfume nzuri na kukusogelea mara kwa mara na kukuongelea masikioni nafikiri utazoea hiyo hali na huyo wa ofisini utamuona kama anaigiza!
 
Kabla ya kuja hapo kwenu alikua hapa kwetu na alikua anatembea na bosi wetu ambaye ni muathrika sasa Mpwa andika waraka kabisa wa kutuachia
 

Kwa nini usimnunulie wife wako manukato anayojipaka na ukamwambia ajiweke sawa kama huyo dada na ukirudi home jioni umkute katika hali hiyo
Maana naona ushauri tunaokupa wewe ushaweka kwenye akili yako kuwa lazima umpate huyo dada na lazima ufanye sex nae
Ndo maana huachi kumsifia na kumuona bora na mzuri kuliko mkeo
Kwa nini usimrembe mkeo home kwako nae anukie kama huyo dada
Inaelekea hata perfume mkeo hana wala hata kumuweka na kumpa viwalo vya maana hujawahi ndo maana unazuzuka na perfume na viwalo vya huo dada na kukaliwa kwako uchi na mapaja nje
 
Wasikudanganye wanaume wa huku achana na shetani manake mjarabu watu ni shetani.tena kwa taarifa yako kuna mitishamba ambayo mtu aliathirika akitumia anakuwa mrembo zaidi ya huyo dada i have collegue waliokuwa wanatumia na wakarudi barabarani wale wanaotoka ule mkoa flani kanda ya ziwa wanaijua vizuri achana nae omba boss amtoe hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…