Uuh.. Huyu msichana mpya hapa ofisini...

si anakutega? we mle then njoo jamvini utuombe ushauri jinsi gani umuache!
 
acha uzinzi kijana kwa namna unavyosimulia inaonesha pia wewe mambo ya kudandadanda ni tabia yako sana
 
Hizo zitakuwa hisia zako tu. Inawezekana huyo binti wala hana wazo na wewe. Anyway kwa vile na yeye ni member humu jamvini subiri comments zake.
 
You are halfway kuanguka, toa hilo wazo lililostick kwenye mind kuwa she is HOT, badili na she is DIRTY BITCH (it can still sound sexy) labda she STINKS n her blood is filled with HIV which swimming thruout her veins!

Au muone kama binti yako uliyemzaa mwenyewe; whatever just make an effort; umeshauriwa vya kutosha ni wewe tu kuamua kuendelea kuteseka au kumuona wa kawaida!
 
sasa mbona hayo ni mahusiano ya kawaida ofisini?utashawishika na wangapi....u have to be strong sio legelege.......muda wa kula unaonekana unaaga ofisi nzima..anyway ht km unatoka naye...be gentleman..kun ammbo mengi ya kuongea n abinti km uyo..meli imezama,Mnyika anahojiwa,Ulimboka anaendeleaje,Bunge isues,BBA,Sports etc...you have to be the controller
kwa suala la yy kukuegemea ofisini,once amefanya ivyo concentrat ekumuelekeza na uwe strict...
ukiwa mwanandoa lazima uwe na mipaka.......eshimu familia..kwnz!!ukizidiwa niPM
 
stephot sijui leo wapenda nikupie kahawa ya jion sehem gani. umenikosha sana aisee.

yaani haya mambo bana hayanaga kanuni mara mwanamke katamaniwa mara mwanaume katamaniwa yaani yapo yapo tu. ila uhsauri wangu kwa huyu sarikoki ni ajaribu kumueka mkewe apendeze kama huyu mdada, pia amwone huyu binti si mali kitu asije akaanguka dhambini. tatu amshirikishe mkewe ili mama azame magotini kumueke muewe ulinzi. au la amsisitize mkewe kuamka usiku na kuombea familia yake. sasa nane usiku inalipa sana.
 
Last edited by a moderator:
Kijana naona sasa unataka kuachishwa kazi,usione vinaelea ujue vimeundwa, wewe jiulize amefikejefikeje humo ofisini.Baada ya kupata majibu kamili nakuapia utachapa kazi kama huna akili nzuri na wala hata kama atakuwekea manyonyo yake utaona kama vile umewekewa na kibibi kizee tena kichawi cha kule kijijini kwenu
 


Let me tell you my friend; All Human Females are made for love!!!!! Just love her and do it for real, BUT
do it Safely
 
Duu kweli, kazi ipo. Kwa kuwa kila mtu ana vitu vyake hapohapo hakuna kilichosahaulika nyumbani...!!.. mtu mtuwe bwana, we jipatie mwongozo wako kikubwa wife wako ashtukie. Ni raha tupu,.
 
Siyo udhaifu , binti anahitaji haki yake!! Apewe bhana.....:wacko:

na mtu yeyote anaye mtizama mwanamke kwa kumtamani amezini , usimtamani mwanamke asiye mke wako kaka utaumia huyo ni pepo ukigusa tu utanata ohooo
 
lol! Mzimikie kabla wenzako hawajakuwahi halafu urudi jamvini kuuufahamisha umma wa JF kwamba umeshamuweka binti mrembo chini ya himaya yako.

 
Last edited by a moderator:
ki ukweli hayo mambo ya kawaida ofisin same time unakuwa km watoto km ni wafanya kazi wa muda mrefu.
ila huyu dada anaoneka anakutaka uwe mtu wake nawe nafsi yakuhanga ndio kabisa.
Acha kujiumiza kwa tamaa za kijinga kaka yangu, huyo dada anaonekana ni mtongozaji hodari wa wanaume.

ladha ya mke ni TENDE kaka yangu weeeeeee.!
 
hapa swali ni moja tu
je mkienda lunch huwa 'unalipa wewe bili'?
kama jibu ni yes....

she knows what she is doing...

mabinti wanaotoka college na kuanza kazi au ma interns na wale wa field...
ni kizazi kingine tofauti.....lol
 
mpe hii story mama kanumba, atengeneze muvi ya kumuenzi mwanae! ila kastory katamu, ingekuwa mm ningeshatafuna siku nyingi.
sikiliza moyo wako unataka nini! sauti ya moyo ni ya kuheshimiwa sana!
 
Inaonekana wewe pia ni mpya kwenye hizi mambo, I wish nikualike ninapopiga mzigo halafu ndio uje tena hapa. Piga kazi jooh achaga mambo za kukodole macho vitu vya watu utan'golewa kucha.

atang'olewa
kucha,kama,ulimboka.hahaha
 
unamkondolea sana macho acha akutege na utakufa na ngoma,.......acha mambo hayo linda ndoa yako hayo ni mapito 2
 

umetia huruma ila jikaze mwayego maana km unampenda mkeo na umesema ni mzuri kuliko huyo mama? Ikimbie dhambi maana hata neno lasema kahaba hudondosha asali kinywani mwake na ukilamba unakwenda shimoni...so chagua kufa au kuiheshimu ndoa yako...!
 
Inaonekana hapo umekwama kabisa na unahitaji neema tu ya Mungu ikuokoe!

Sikia, ijengee akili yako ushindi, usikubali kushawishika kwa njia yoyote. Muone kama Dada yako tu! Linda ndoa yako.

Umenena vema happiness win
Mi nikiwaga mbali na mke wangu huwa naondoa hisia za mapenzi kwa kuilazimisha akili yangu iamini kuwa niko likizo na iamini kuwa kila mwanamke ni aidha mama yangu au dada yangu. Siruhusu macho yanidanganye na kunitia tamaa kwa kuangalia warembo, hivyo nakuwa sina mawazo ya ngono kivile. Hii inanisaidia sana kukwepa kuingia mkenge na kutia doa ndoa yangu, of course plus risks nyingine kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…