mr altitude
Member
- Jul 23, 2016
- 96
- 59
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]angalia picha la X tu kaka.. dakika mbili hazifiki chek norris huyooo
Unaweza kua na tatizo linaloitwa kwa kiingereza Erectile Dynsfunction ambalo,huwapata wanaume wengi,na mara nyingi husababishwa na upungufu wa homone zinazojulikana kama testosterone ambazo huwa zinasisimua uume uweze kufanya kazi sawasawa, au unaweza pia kua na tatizo la kuwa na hofu na tendo lenyewe,na kwa hilo tendo ukishakua na hofu tu basi,sahau kusimamisha uume yaani huwezi kudindisha hata iweje,labda mwenza wako awe mtundu anaweza kufanya manjonjo ili isimame,nakushauri kamuone physician yeyote katika hospitali unayoiamini aweze kukupa ushauri utakaoweza kukufaa.Tiba ya uume kugoma kusimama wakati wa kufanya mapenzi ni nini?
Sababu yake ni nini?
Tiba yake ni nini?
Asa mkono una joto?Mhhhhhh utofauti wake mini?
Sababu yake ni kuchukua wake za watu. Tiba ni kuacha zinaa na kumrudia Muumba.Tiba ya uume kugoma kusimama wakati wa kufanya mapenzi ni nini?
Sababu yake ni nini?
Tiba yake ni nini?
wewe ni ke au me??Tiba ya uume kugoma kusimama wakati wa kufanya mapenzi ni nini?
Sababu yake ni nini?
Tiba yake ni nini?
Acha uongoDawa za asili za kuongeza nguvu za kiume .0744069527
Nimependa avatar yako!Tiba ya uume kugoma kusimama wakati wa kufanya mapenzi ni nini?
Sababu yake ni nini?
Tiba yake ni nini?
huyu ni tapeli mkubwa humu jf kashatapeli wengi kuweni makini nae tarifa zake zipo tcra anatafutwaAcha uongo