Uume kusimama legelege

Uume kusimama legelege

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,746
Reaction score
2,924
Wadau me kijana miaka 32 maana toka nibalehe sijawahi kushiriki mahusiano ila umri huu nimeamua kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ili nioe.

Tatizo linalonisumbua uume kusimama legelege hausimami vizuri mpka mwanamke analalamika.

Sijawahi kufanya nyeto,sema nimeangalia sana porn niliacha miaka 3 imepita je tiba yake nini na vipimo gani nikacheki hospital
 
Hatutoi ushauri mpaka utengue kauli, yaani uangalie porn videos halafu usipige nyeto na hauna mwanamke?.
Wadau me kijana miaka 32 maana toka nibalehe sijawahi kushiriki mahusiano ila umri huu nimeamua kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ili nioe tatizo linalonisumbua uume kusimama legelege hausimami vizuri mpka mwanamke analalamika,sijawahi kufanya nyeto,sema nimeangalia sana porn niliacha miaka 3 imepita je tiba yake nini na vipimo gani nikacheki hospital

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kauri imekaaa kimtego sana🤣
 
Kwahyo mwanetu hujawahi kumbato?
 
Back
Top Bottom