Uume kusimama legelege

Mkuu asante kwa ushauri wako hapa jukwaani, Mimi pia Nina tatizo la kutosimamisha na nilisimamisha mashine inakuwa legelege. Afu pia nakosa hamu ya mapenzi swali je huu ushauri wako hapa utanifaa? Msaada wako mkuu
 
Me nakushauri ivi, fanya mazoez hasa ya kegels,kula vizuri,pumzka.
 
Mkuu asante kwa ushauri wako hapa jukwaani, Mimi pia Nina tatizo la kutosimamisha na nilisimamisha mashine inakuwa legelege. Afu pia nakosa hamu ya mapenzi swali je huu ushauri wako hapa utanifaa? Msaada wako mkuu
Pole Mkuu. Jambo la msingi ni kujua tatizo lako linasababishwa na nini, kama ni la kisaikolojia utahangaika na hizo Kegel exercises na hutopona. Au kama ni hormonal imbalance utafanya hiyo kuchua na haitokusaidia, ndo maana madaktari hupendekeza vipimo ili ijulikane chanzo then muanze kudeal na tatizo husika. Ila ni gharama ndo maana hata mi binafsi sikwenda.

Kwa symptoms zako nahisi una hormonal imbalance yaani homoni zako za kiume (testosterone) zimeshuka. Hapo kuna dawa inaitwa "Mujarab" wanauza elfu 50 hadi 40 ila kama una muda unatengeneza mwenyewe na haifiki bei hiyo; Tafuta asali lita 1, olive oil, tangawizi, kitunguu swaum, habat soda, uwatu, na pilipili manga (hapo nimetaja kwa uchache ila vinatosha) na ukikosa kabisaa basi changanya asali na kitunguu swaum na tangawizi. Uwe unakunywa vijiko viwili (vya chakula) asubuhi kabla hujala kitu chochote na viwili unapoenda kulala yaani ukiwa ushamalizana na zoezi la kula. Mchanganyiko huu kama umechanganya na lita 1 ya asali huwa unaisha baada ya kama wiki mbili baada ya hapo jisikilizie halo yako ipoje, ukiona bado tengeneza tena. Uzuri wa dawa hii pia huondoa sumu mwilini na huondoa addiction (mfano nilikuwaga mpenzi wa energy drink na masoda ya take away baada ya kutumia hiyo huo uraibu uliondoka). Hayo ma uwatu na habat soda yanapatikana k/koo stendi ya zamani ya gari za tegeta (kwa Abdul Swamad) sina uhakika kama bado yupo ila ukifika mitaa hiyo ukiulizia watu wanakuelekeza na hata kama ye hayupo kuna maduka mengine kwenye fremu hizo wanauza hayo mavitu.

NB: Zingatia sana saikolojia yako (yaani jiamini) maana athari hizi zikishakukuta kujiamini huwa kunaondoka hivyo unaweza ukadhani hujapona kumbe upo sawa haswa kama utaenda kushiriki na yule ambae tatizo lilikukutia kwake. Mimi ilinikuta hiyo gari ikaja kuwakia kwa mchepuko ndo nikajua kumbe nishapona ila saikolojia yangu kwa yule ambae tatizo lilinikuta nae ndo haikuwa sawa.
 
Kuwa muwazi upate msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…