Uume kusimama legelege

Acha uongo bana! Wewe ni mpiga nyeto tu
 
Hakuna mtu aliezaliwa na tatizo la nguvu za kiume tangu mdogo.
Huyu ni nyeto na vijana wa sasa ukiwakataza na hili janga wanakua wakali sana.
Kama ni kweli basi alikuwa na tatizo ka nguvu za kiume tangu kauzaliwa.
 
Naunga mkono hoja. Kuna mwamba (Stirling Cooper) kwenye kitabu chake anaelekeza kitu kinachofanana na hicho. Yaani jinsi unavyonyetuka ndio aidha itakuongezea uwezo kitandani au itakupunguzia.
 
Wadau wengi mliochangia mmedhani sisimamishi kabisa,nasimamisha ila nikifika dk 2 askari anakuwa legelege hana nguvu na kurudi anachelewa
Kama sekta zingine uko sawa, yaani asubuhi unapata erection tatizo ni ulegevu tuu. Kuna option mbili na zote kwangu zinafanya kazi ila nitayokuelekeza ya kwanza ndo naiona ni salama zaidi.
1. Chukua mafuta ya mzaituni (olive oil) na vitunguu swaum punje kadhaa. Viponde vitunguu swaum vitie humo kwenye mafuta ya mzaituni acha vichanganyike kwa walau nusu saa halafu uje uchue kwenye dushe lako (nawa tu mikono dushe usilioshe). Itapendeza ukifanya hili zoezi usiku ili ulale nao huo mchanganyiko then asubuhi ndo unaoga.
NB: Sikushauri kufanya mchana maana utakuwa unanuka vitunguu swaum watu wanaweza wakakukimbia😄

2. Hii ni ya kihuni zaidi na inafanya kazi ila sikuipendelea sana kwakuwa inahusisha kitu kilichopitia kiwandani. Iko hivi chukua whitedent au colgate herbal (ya kijani sio zile nyekundu) kamulia kwenye kopo donge kubwa kiasi halafu chukua limao kamulia humo koroga mpaka vyote vichanganyike pamoja, uwe unapaka kwenye dushe baada ya nusu saa unanawa. Itakuwasha kama umepaka vicks (ila inavumilika).

Hiizi zote mbili ni zinasisimua misuli ya uume. Hivyo kama tatizo lako ni la kisaikolojia hazitokusaidia. Kujua kama ni tatizo la kisaikolojia itabidi uchepuke tafuta msichana mwingine atakayekuvutia jaribu kulala nae ukiona inasimama fresh basi ujue tatizo ni saikolojia yako tu na huyo mpenzi wako.
Kila la kheri Mkuu.
 
Achana nao, tafuta hela.
 
Ulikua unatumia supplements?
 
Amini mkuu nilikuwa nazipakua nacheki tu mpka mshindo
Kama ulikuwa unafika mshindo bila kugusana na kitu chochote kile!
Bro Hilo ni tatizo tena kubwaa thanaa
Yani utakuwa huna tofauti na wale ukiona paja tu unafika mshindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…