Uume kusinyaa wakati wa tendo

ndio ninayo mimi si daktar kwa nini nisifaham kity nilichosomea miaka saba
Naomba link yenye uthibitisho wa kisayansi kama kuna uhusiano kati ya kujichua na kuishiwa nguvu.
 
Nitamtafuta maana nmehangaika bila mafanikioo....
 
Hongera
 
Wakuu
Nina tatizo la uume wangu kusinyaa kabla sijakojoa. Nikianza shoo, kabla sijakojoa inasinyaa.
Naombeni msaada
Mkuu ulishawahi kupiga punyeto. Fanya mazoezi ya mwili na ya kengo kuimalisha mishipa ya dusheeeeee
 
"Anaenda mpaka 3 ila hakojoi hata mara moja"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
sasa uko 3 unafkaje kama ukojoi Hata moja au unadhan iksmama ukaweka ndio moja iklala ikacmama ukaweka ndio mbil nakuendelea??
Hahahaaa, jamaa cjui anahesabu vp bao au anahc Ile kuingiza na kuchomoa ndo bao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…