Uume kutoa ute mweupe

Bitabo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
1,900
Reaction score
688
Wakuu Naomba msaada. Nikienda kukojoa nakuta kuna ute mweupe Kwenye kichwa cha uume. Ila nikikojoa natoa mkojo wa kawaida na sina maumivu yoyote. Ni kitu gani hiki?
 
hizo ni maji maji kwa ajili ya shahawa kupita hiyo hutokea mara moja moja pindi unapokuwa unawaza ngono.inaonyesha ndiyo unaanza kukuwa..
 
Una kijela wewe cha miaka mingi mnoo, tafuta mtoto akutulize
 
naona kiswahili kinanitatiza hapa...............

hayo maji umesema ni "meupe'??.................... i mean kama povu la sabuni???.................. au ni maangavu??? .................i mean transparent??.....................

kama ni meupe, kimbia hospital mapema................ kama ni maangavu na yanatoka ukiwa katika erection .......................or soon thereafter............., its normal and a sign of potency.................. so watch out usichezee gridi ya taifa bila kingazzz......................
 
Kisonono hicho..hizo ni dalili za awali kabisa! wahi hospitali!
 
Tatizo una ukame wa miaka mingi means dat mvua kwako hazinyeshi.
 
ugwadu tu huo wa kuangalia x..alafu kesho yake unasaau na kuushanga huo ute.
 
Wacha kuangalia blue flicks. Halafu fanya juhudi upunguze mbegu hizo. Tumia tahadhari.
 
Kichupa kimejaa hicho dogo nyumbani amna beki tatu uvunje nae ukimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…