Uume kutosimama vizuri(kuwa mlaini)

Wa Igima

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
376
Reaction score
110
Nini sababu,faida,na taabu ya uume kuto weza kusimama vizuri(yani kuwa mraini)wakati wa kujamiiana
 
Nimejaribu kuiacha nimeshindwa mpaka nafikiria kuwa labda nimerogwa,
kama unanjia ya kunisaidia naomba msada wako
 
jaribu kupima pressure na kisukari mkuu fanya mazoezi ya viungo .kama wewe ni mnene ,punguza unene kwa kula vyakula vya mboga mboga na matunda ,pungua vyakula vyenye mafuta kwa wingi hasa mafuta yanayotokana na wanyama.punguza vyakula vya wanga kama ugali wa sembe ,wali ,chips,hacha kutumia vinywaji vya viwanda kama aina zote za soda ,coca cola .Azam cola .na aina zote za vyakula za viwandani mkuu .pia jaribu kutumia Asali changanya maziwa ya ng'ombe fresh yaliyochemchwa na kupoa .changanya Asali mbichi na pia kula tende punje 7 kila cku kwa wiki 2 mpaka 3.
Pia dawa nyingine changanya Asali ,maziwa fresh ,juice ya kitunguu sauma na madalasni kunywa huu mseto kwa wiki 2 mpaka 3 .kunywa vijiko viwili vya chakula mara 2 mpaka 3 kwa cku .huu mseto weka kwenye frigi .hii dawa lishe .fanya hivyo mkuu utaona matokeo.kama mkeo hatokimbia kitanda
 
kama unanjia ya kunisaidia naomba msada wako
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/567638-njia-za-kuacha-punyeto-na-kuimarisha-uume.html
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/318314-utawezaje-kuacha-kupiga-punyeto.html
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/17082-punyeto-nini-madhara-yake-31-print.html
NA ZAIDI YA ZOTE HII NDIO ITAKUSAIDIA ZAIDI....
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/52288-kujichua-kunavyoweza-kuyaathiri-maisha-yako.html
Nimejaribu kuiacha nimeshindwa mpaka nafikiria kuwa labda nimerogwa,
Na hii ndiyo inakuletea matatizo yote haya!!!
NJIA ZA KUACHA.
1)Dhamiria toka moyoni na weka dhamira KUWA UNATAKA KUACHA..
2)Epukana na mawazo ya kugegeda..
3)Acha kuangalia picha za ngono..
4)Usikae peke yako mda mrefu
5)usiwe idle(bila kazi/shughuli), na kama huna cha kufanya cheza hata gemu angalia muvi n.k
6)Mrudie mungu/ sali.
7)Fanya mazoezi.
 

akimbie kitanda au ndo kwanza atakuwa anacheza karibu na kitanda
 

nashukuru nitajaribu mkuu
 
Hivi hii hali ya uume kuwa mraini haina faida kwa mwanamke?
 
Nini sababu,faida,na taabu ya uume kuto weza kusimama vizuri(yani kuwa mraini)wakati wa kujamiiana
Pole ndugu Kaangalie mojawapo haya hap chini ukiwa huna nitafute kwa wakati wako ninaweza kukutibia kwa gharama lakini.

Sababu:
1. Dalili ya kisukari au pressure
2. Ulikuwa mtaalamu wa punyeto kuliko maelezo
3. Kuchoka sana na kuwa mawazo mengi na hofu au woga wa kimaisha
4. Kukosa muda wa kujiandaa kimapenzi
5. Usafi wa mwenzi wako na mvuto kimaongezi na mahali pasipokuwa na mvuto
6. Umekuwa mnywaji wa mapombe makali makali sana kwa muda mrefu.

Wasiliana na mimi bonyeza hapa.Mawasiliano ~ Mzizi Mkavu
 
nenda kwa maduka ya dawa asilia ulizia mafuta ya MISC hayo mafuta paka kwa dushelele kwa umakini....utapatapa majibu mazuri kwa watu wa tanga au pwani kwa ujumla hii kitu ni maarufu sana
 
nenda kwa maduka ya dawa asilia ulizia mafuta ya MISC hayo mafuta paka kwa dushelele kwa umakini....utapatapa majibu mazuri kwa watu wa tanga au pwani kwa ujumla hii kitu ni maarufu sana

samahan,hayo mafuta yanapatikana wap na kazi yake kuu ni nn
 
samahan,hayo mafuta yanapatikana wap na kazi yake kuu ni nn

Wewe umeleta tatizo lako hapa ili usaidiwe bado unauliza mtu kazi ya hiyo dawa ni nini. Hivi wewe hujui unatatizo gani. Watu wengine bana????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…