bukkede Tz
Senior Member
- Jun 26, 2014
- 182
- 26
1.yanapatikana kwenye maduka dawa za asilisamahan,hayo mafuta yanapatikana wap na kazi yake kuu ni nn
siku izi vipo feki, kuna wine ya uyoga ndo habari ya mujini ukiitaji fika maeneo ya magereza ukonga kuna kibaa flani kipo ndani, glasi wanauza buku jero hiyo kitu ni zaidi ya nouma inatengenezwa dodoma glasi mbili tu zinakutosha, kama ni kichencheda chako lazima kitaacha pichukunywa kiroba cha value
1.yanapatikana kwenye maduka dawa za asili
2.kariakoo yapo mengi tu hasa kwa maduka ya wapemba watakupa maelekezo ya kutosha
3.pia misikitini yanapatikana utakapo kwenye vimeza vya biashara ndogo ndogo.
4.kazi yake kubwa ni kuibust dushelele,
5.kwa tanga hii kitu ni maalufu sana
Nini sababu,faida,na taabu ya uume kuto weza kusimama vizuri(yani kuwa mraini)wakati wa kujamiiana
kwa bongo swahili haina effect we mlad umeelewa kwasababu hata ukiandika kwenye mtihani unafaulu
kumbe kua mwalimu ni kazi, yani bado tu hujaelewa tu :deadhorse:Asante mkuu,sasa ukishapaka ndo lnakua busted moja kwa moja
mkuu hata kama unajua tatizo lazma ujue iyo tiba inasaidia vipi na kama ina madhara kiafya au na si kutumia tu bila kujua nafkiri aliemshauri aje amweleweshe vizuriWewe umeleta tatizo lako hapa ili usaidiwe bado unauliza mtu kazi ya hiyo dawa ni nini. Hivi wewe hujui unatatizo gani. Watu wengine bana????????
mkuu hata kama unajua tatizo lazma ujue iyo tiba inasaidia vipi na kama ina madhara kiafya au na si kutumia tu bila kujua nafkiri aliemshauri aje amweleweshe vizuri
Pole ila sio kuwa " mraini" ni kuwa " mlaini"