Uume kuwa mdogo na makorodani kuuma

Uume kuwa mdogo na makorodani kuuma

Imma87

New Member
Joined
Apr 13, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Kwanini uume huwa mdogo na makorodini kuuma yaani kukiwa na baridi au ukiwa hali ya kawaida huwa mdogo kama cm 2 au 3 je tiba yake ni nini? Naomba ushauri wenu fj
 
hiyo ni dalili ya mnyama "ngiri"!! nenda kawaone wataalamu
 
Back
Top Bottom