I Imma87 New Member Joined Apr 13, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Apr 14, 2012 #1 Kwanini uume huwa mdogo na makorodini kuuma yaani kukiwa na baridi au ukiwa hali ya kawaida huwa mdogo kama cm 2 au 3 je tiba yake ni nini? Naomba ushauri wenu fj
Kwanini uume huwa mdogo na makorodini kuuma yaani kukiwa na baridi au ukiwa hali ya kawaida huwa mdogo kama cm 2 au 3 je tiba yake ni nini? Naomba ushauri wenu fj
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Apr 14, 2012 #2 Ngiri au??
S Song'ito JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 348 Reaction score 147 Apr 14, 2012 #3 hiyo ni dalili ya mnyama "ngiri"!! nenda kawaone wataalamu