Uume kuwasha na kuwa na weusi

Uume kuwasha na kuwa na weusi

under the same sun

Senior Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
160
Reaction score
37
Nimekunywa dawa za malaria ekelifn jana asbh kufika jioni naskia muwasho kwenye uume wangu na hadi leo tatizo ni nini?
 
kalimizzle; tafuta papuch kwanza uangalie niaje!!! Asante kwa ushauri lkn mkuu hili sio jukwaa la jokes!
 
umepata na mzio wa sulphar nenda sehem ulipoipata hiyo dawa kawaelezee watakupa dawa ya kuthibit tatizo
 
MziziMkavu njoo huku kuna ndugu yetu anaweza akaharibu kiungo chetu muhimu kwa sababu yakukunwa
 
Last edited by a moderator:
hiyo ni salpha tafuta kipande cha mualovera upake hiyo sehemu kwa siku tatu na pia kunywa maziwa mara kwa mara itasaidia
 
Back
Top Bottom