under the same sun
Senior Member
- Jan 15, 2014
- 160
- 37
Pole tatizo ni hizo dawa ulizo kula huenda unayo alerji ya hizo dawa nenda hospitali kamuone daktari haraka.Nimekunywa dawa za malaria ekelifn jana asbh kufika jioni naskia muwasho kwenye uume wangu na hadi leo tatizo ni nini?