Uume kuwasha

Uume kuwasha

MOLAM

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
141
Reaction score
20
Wataalam ninatatizo la uume wangu kuwasha kwa ndani, napia wakatininapo kojoa nasikia maumivu. nina mwezi mmoja tangu tatizo lianze.

Nahitaji msaada wenu.
 
Sio gono coz gono madhara yake ujitokeza mapema sana wakuu.but nenda kapime mkojo hospital haraka
 
Back
Top Bottom