Uume mdogo

Uume mdogo

kilungula

Member
Joined
May 6, 2014
Posts
23
Reaction score
5
Naomba kueleweshwa, hivi inakuwaje baadhi ya wanaume wana uume mfupi (kibamia). Je wanaweza kubebesha mimba?

Uume kuwa mdogo haisababishi wewe kuto m-bebesha mwanamke mimba. kuna sababu zingine zinazo kusa babisha wewe usiweze kum-bebesha mwanamke mimba kama shahawa zako hazina nguvu Low Sperm count ukiwa na matatizo hayo hutoweza kum-bebesh mwanamke mimba. kama unataka kuongeza ukubwa wa uume wako hebu nitembelee kwenye blog yangu bonyeza hapa.DAWA YA KUREFUSHA NA KUNENEPESHA UUME
 
Mkuu usichanganyikiwe kwa kuwa na Kibamia. Kikubwa kitu kisimame fresh I na spermatozoa ziwe za kutosha, basi. Hakuna cha ndonga kubwa wala nini. Hayo ni maumbile tu kama ilivyo kwa watu wafupi na warefu. Haya mambo hayaepukiki ndo nature ilivyo.
 
uume mdogo? inch ngapi? waambiwa wastani uke wa mwanamke ni inch 3-5, kwa hiyo hata ukiwa na inch 4 inafaa labda kama ni chini ya hapo muone #mzizimkavu
 
Asante Mzizi Mkavu. Ila bei yake kwa mlala hoi ni issue.
Mkuu Dawa upatikanaji wake ndio imekuwa ni tatizo ndio maana dawa ikawa ni bei ghali laiti ingelikuwa dawa inapatikana huko huko nyumbani isingelikuwa bei kubwa.

uume mdogo? inch ngapi? waambiwa wastani uke wa mwanamke ni inch 3-5, kwa hiyo hata ukiwa na inch 4 inafaa labda kama ni chini ya hapo muone #mzizimkavu
Ni kweli uume kuwa mdogo inategemea na jinsi utakavyo utumia wewe mtumiaji.
 
Wewe unasema kibamia wakati kunawatu uume kama SIGARA NYOTA na anabebesha mimba ya mapacha watatu?
 
Back
Top Bottom