Uume unauma baada ya kusimama

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
869
Reaction score
961
Habar wadau,,umri wangu miaka 20 UUME Wangu ni sentimita 19 (Inch 8.5) sasa kuna muda znanijia hisia za kusex UUME Wangu husimama kwa muda mrefu (zaid ya dk 30) bila kusinyaa ila huwa nakoxa demu wa kusex naye coz demu wang yupo mbali na mie...

tatzo ni kwamba UUME Ukisinyaa (Ukilala) baada km ya saa moja kusinyaa huwa napata sana maumivu makal kwa ndan (sehemu ya uume) mpaka naxhindwa kutembea inanilazmu nilale,,, hayo maumivu sio permanent huwa ni temporaly (at least 2 hours)

Je hii hali ni Kawaida kwa wanaume wote huwa inatokea au mm nna matatzo yangu tu? na suluhixho ni nn?
 
sababu ni nguvu nyingi za kiume zinazotokana na umri mdogo.Hali hiyo itaisha kadiri umri unavyosonga.Hembu tuone na wengine watasemaje!!
 
sababu ni nguvu nyingi za kiume zinazotokana na umri mdogo.Hali hiyo itaisha kadiri umri unavyosonga.Hembu tuone na wengine watasemaje!!

Asante mkuu Kwa jbu lako
 
Inchi 8.5 ?? Wewe ni tiba tosha kwa huyu farasi wangu nitafute nikupe deal
 
Xx za kufa mtu halafu sijui nini na nini ngoja kampeni zianze watu watakua na hela na utapakuliwa vizuri tu.
 
Je ? Una sickle cell , achana wanaokwambia ni ujasiri sijiu . priapism si ujasiri ni ugonjwa .. Katika mfumo mzima wa damu.. Hyper coagulation .. Sijui kiswahili chake .. Kwa umri wako ni mdogo kupata stroke ila kuna certain vasculitis disease zinasababisha stroke kwa umri mdogo...


Ushauri

Angalia diet yako
Fanya mazoezi
Kumeza aspirin hata mara moja kwa siku sio mbaya .. Na inashauriwa hivo hata kwa mtu wa kawaida...

mazoezi muhimu zaidi
 
jitqhidi tu usiwaze ngono, ili isisimame, uki-concentrate sana kwenye hizo hisia misuli hujikaza na mishipa kujaa damu, sasa ili irudi kawaida ndio hayo maumivu, pia hata wanaopiga punyeto kwa mda mrefu husababisha hili kwani ile mishipa inakuwa imesumbuliwa sana,,. hivyo basi jua kuwa sio ugonjwa ila epuka hivyo vitu maana siku moja hiyo mishipa inayouma itaathirika na itakuwa tatizo kubwa
 
Nkisema mazoezi sio kunyanyua vyuma ..,namaanisha aerobics.. Kimbia uwanjani rounds kadhaa
 

Asante mkuu uxhaur mzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…