Uume wangu jamani, nisaidieni

Hater nilipigwa ban hater.....kuna mpuuzi mmoja wa kule siasani aliniponza hater....I miss u so much hater
hater nilikwambia achana na siasa njoo tuongee mapenzi na pesa unaruka ruka kama kitenesi kazi kweli kweli .. ngoja na hapa nikuponze tukupige ban mpaka mwezi wa nne
 
hater nilikwambia achana na siasa njoo tuongee mapenzi na pesa unaruka ruka kama kitenesi kazi kweli kweli .. ngoja na hapa nikuponze tukupige ban mpaka mwezi wa nne

Hater kwa sasa huwezi kuniponza ilikua enzi zile nakuchukia...sasa hivi huwezi
 
kwa kuwa hata mimi nakuchukia hater yani nikikuona natamani kupasua screan ya computer nikupige makonde

Hhaahahahaha...hater kuwa makini hater......vunja kompyuta mie sipooooo...hater mi nishaacha kukuchukia ...mornin
 
Fanya mazoezi kijana hayo mawazo ya kuwaza bunye kwa wakati usio muafaka yataisha...mm pia nilikuwa hvyo nikikutana na dem mkali (kisu) naanza kumpigia hesabu kihisia jinsi ntavyo mkunja panapo 6/6 dk 2 unaona kitu mnara..fanya mazoezi sana.
 
Mkuu acha kupiga nyeto, inasababisha hiyo hali
 
Mnatoka nje ya mada mambo yenu pelekeni chemba. Hapa tunataka kumshauri mtu anayedindisha mpaka anaweweseka na kupitiliza vituo vya basi

Ha ha ha tunamsaidia namna ya kuamisha mada mawazo ya kwenye dudu kupeleka sekta nyingine ... kama tulivyofanya ha ha ha ha Freeland unakesi
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha tunamsaidia namna ya kuamisha mada mawazo ya kwenye dudu kupeleka sekta nyingine ... kama tulivyofanya ha ha ha ha Freeland unakesi

Te teee! Inavyoonekana huyo hahamishiki amekua sugu..yani kila siku anapitiliza vituo vya basi kwa kudindisha!
 
Last edited by a moderator:
Te teee! Inavyoonekana huyo hahamishiki amekua sugu..yani kila siku anapitiliza vituo vya basi kwa kudindisha!

Kweli jamaa ni rigid kila abiria ana mambo kwenye basi lakini akili yake inawaza dudu tu ha.ha ha.ha ha .ha duh
 
Hilo si tatizo kwani kuna wengi dizaini kama wewe wanachelewa kubalehe, nakushauri uwe unatembea na gloves, Vaseline, bila kusahau taulo kwa ajili ya kupiga punyeto where possible. Enjoy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…