Hater...huyu kazidi kila siku anadindisha tu.....mbona hata mbunju zipo
haha ha ha okey hater hongera unakaribia kuona mwaka
Hater niligongwa ban nyingine mwaka unaisha vibaya ...lol
tulia hater unachofanya unawaudhi mods
Hapana hater...kuna bibi mmoja kule siasani nahisi amewahonga mods.....sasa hater mie bibi nimemfagilia nikaomba mzigo...kosa langu ni lipi?
ha ha ha kosa lako ni kuomba mzigo mda wa kazi
Ilikua usiku saa nne hater..tena nilimgusa mgusa kidogo ageuke...mara oooohhh...mods sijui wakatoka wapi....eti one week ban
ha ha ha ha labda uligusa kifaa cha mods
Inawezekana hater....dah...sio fair kabisa
Unajua hater haya mambo msiwe mnayabania
Mmepewa bure toeni bure
hater lazima nikibane niahudumia mwenyewe .. kwa hiyo sitoi bure hater.. usiguse gwasuma za watu humu utafukuzwa jf
Hahhaahahah...dah...navoipenda freeland yangu wakinifukuza wataniumiza mtima wa moyo
Heri kadhia ya kukosa JF kuliko kunyimwa Papuchi
Hater inauma sana
Inauma ujue.
Hater...hata hivyo kukihudumia kinahudumiwa hater...huduma yake nadhani unaijua
Tatizo siku hizi mnatumia hata matango hater
Sio tabia nzuri hater
Ni bora kuwa kina babu seya kuliko kuishindwa hio kitu aiseee
Si unajua kuna jamaa aliimba hii kitu hii kitu hii kitu hii
sawa hater naelewa sasa kuwa mpole usitongoze tena sawa
sawa haterHhaahahahahah....
sawa hater
I wont
Naheshimu ushauri wako