Uume wangu jamani!

Mu7

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
1,624
Reaction score
1,934
Habari za leo wana jf? Naombeni msaada mwenzenu. Mi nina umri wa 43 na nimetahiriwa ukubwani, nauguza kidonda, leo siku ya 5. Kwenye
ukingo
wa kichwa cha uume kuna
vipele vidogovidogo vipo kama vpele vya joto
lakin vyenyewe haviwashi wala havitumbuki, alfu vimezunga
kwenye ukingo wote wa
kichwa(uume). Nilikuwa naviona hata kabla ya tohara na vikiguswa viko sensitive sana. Sasa hv baada ya kutahiriwa ncha zake zimekauka na vinanasa kwenye shuka au kaptula, basi najisikia vibaya na eneo zima kutonesha. Nifanyeje kuepuka hali hii na vitaendelea kunasa nguo hata baada ya kupona kidonda? Nawasilisha.
 
Una muda gani toka utahiriwe?

Ulivomwona daktari alikushauri nini (sitegemei hujamwambia daktari hili tatizo)
 
Una muda gani toka utahiriwe?

Ulivomwona daktari alikushauri nini (sitegemei hujamwambia daktari hili tatizo)

leo cku ya 5. Nilitahiriwa 17/12/2013 na kabla ya hapo halikuwa tatizo
 
Kaswende hiyo kaka. Wahi clinic.

Miaka 43 hujatairiwa? Sasa ulikua unaishije kwenyehii dunia ya mapenzi?
 
Kaswende hiyo kaka. Wahi clinic.

Miaka 43 hujatairiwa? Sasa ulikua unaishije kwenyehii dunia ya mapenzi?

umeombwa ushauri sio kejeli. Ulisikia wapi kuwa mapenzi yana condition ati mpaka utahiriwe? Kwa taarifa yako, takwimu za hv karibuni kbs za WHO 30% tu ya wanaume wote Worldwide ndio wametahiriwa. The rest 70% hawajatahiriwa. Anyway, isiwe issue, mi nimetahiriwa ila ndo nahangaika na tatizo hilo.
 

hivi vipele navijua lkn causative agent ni hiyo delay ya kutairi maana umempa chance Candida albicans afanye mambo yake....in short mm mdogo wangu katairiwa akiwa form 1 naona anashida kama hii hapa nasijajua unaweza kuvitoa vp...uzuri yeye ni vidogo avimsubuhi ila vinamtia aibu akiwa anagegeda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…