Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mimi ni kijana na tatizo langu ni kwamba mboga yangu ni ndogo sana, sasa mara nyingi kwa kweli inani kwaza na muda mwingi nateseka sana kwa mawazo. Mademu wengi waminiacha
wengine wamekuwa sio waaminifu kwangu kitu kinachonifanya nihisi kuwa ni udogo wa mboga yangu.
Ukiniona ni bonge la handsome na kina dada wenyewe wanajileta lakini wengi nawachunia sana kwakujifanya kuwa mimi ni bonge la Mlokole flani kumbe uume wangu mdogo hata mwanamke ukimkubalia utamtia siku ya kwanza ya pili ataanza kulalamika kwamba hasikii kitu.
Sasa utakuta mzee mzima na ji over work ili shughuli ifane lakini wapi jasho linatoka, basi ni matatizo na maumivu ya roho. Ukiachana nao wanaanza kutangaza basi balaa mtindo mmoja hebu nisaidie dada yangu.