Blood Hurricane
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,175
- 303
Mimi ni kijana na tatizo langu ni kwamba mboga yangu ni ndogo sana, sasa mara nyingi kwa kweli inani kwaza na muda mwingi nateseka sana kwa mawazo. Mademu wengi waminiacha
wengine wamekuwa sio waaminifu kwangu kitu kinachonifanya nihisi kuwa ni udogo wa mboga yangu.
Ukiniona ni bonge la handsome na kina dada wenyewe wana jileta lakini wengi na wachunia sana kwakujifanya kuwa mimi ni bonge la Mlokole flani kumbe uboo wangu mdogo hata mwanamke ukimkubalia utamtia siku ya kwanza ya pili ataanza kulalamika kwamba hasikii kitu.
Sasa utakuta mzee mzima na ji over work ili shughuli ifane lakini wapi jasho linatoka, basi ni matatizo na maumivu ya roho. Ukiachana nao wanaanza kutangaza basi balaa mtindo mmoja hebu ni saidie dada yangu.
Najua wapo watakao ni dharau na kunibeza nawegine watazani labda naleta maskhara, atc. Lakini ukweli mimi nimtu mzima naakilizangu najua lipi zuli nalipi baya, upi wakat wa utani na upi wakati wa sirias. Tibahii nilipewa miaka kama 10 hivi iliyo pita ( manica, Mozambiqui ) kabla ya hapo nili kua ni miungoni mwa wanaume wenye Dushelele ndogo sana. Nilipata wakati mgumu nilipo kutana na mizigo ( wanawake wenye maumbo makubwa ) ilifika wakati nilishindwa kubaki na boxa/chupi sehem za ufukwe kwakujihisi haibu. Sikumoja nili muhadithia meu amigo ( rafiki ) kuusu hali yangu, akanielekeza kwa corandero ( mganga ) ndipo nilipo patwa na mshangao baada ya kupewa dawa ya kukuza Dushelele. Alinielekeze nitafute pilipili chunvi na limao kisha niitwangwe ile pilipili pamoja na chunvi baada ya kupata mchanganyiko huo nikamulie ile limao kisha niki pake kicha cha uume mara niendapo kulala. Nilitumia dawa hiyo kwamuda wa siku7 tu maajabu niliyo kutana nayo yalini staabisha, kitu kikawa kinajaa ndani ya chupi, kiki simama nchi kama 9 hivi, sinatena wasiwasi na mashankupe wa mjini. Kiufupi nasema pilipili imeni ponya. Kwahiyo kwakujua kuwa tatizo hili lina wasumbua wanaume wenzangu wengi nikaona siimbaya kuitoa fikra hii kwa atakae taka
kisukari,jiamini,nani amekwambia kibamia hakiridhishi?sio wote wanapenda mitarimbo mikubwa.mimi mmoja wapo hicho hicho kibamia kinanitosha.sitaki pm
Muone huyu hapa:
By Kitoabu
Najua wapo watakao ni dharau na kunibeza nawegine watazani labda naleta maskhara, atc. Lakini ukweli mimi nimtu mzima naakilizangu najua lipi zuli nalipi baya, upi wakat wa utani na upi wakati wa sirias. Tibahii nilipewa miaka kama 10 hivi iliyo pita ( manica, Mozambiqui ) kabla ya hapo nili kua ni miungoni mwa wanaume wenye Dushelele ndogo sana. Nilipata wakati mgumu nilipo kutana na mizigo ( wanawake wenye maumbo makubwa ) ilifika wakati nilishindwa kubaki na boxa/chupi sehem za ufukwe kwakujihisi haibu. Sikumoja nili muhadithia meu amigo ( rafiki ) kuusu hali yangu, akanielekeza kwa corandero ( mganga ) ndipo nilipo patwa na mshangao baada ya kupewa dawa ya kukuza Dushelele. Alinielekeze nitafute pilipili chunvi na limao kisha niitwangwe ile pilipili pamoja na chunvi baada ya kupata mchanganyiko huo nikamulie ile limao kisha niki pake kicha cha uume mara niendapo kulala. Nilitumia dawa hiyo kwamuda wa siku7 tu maajabu niliyo kutana nayo yalini staabisha, kitu kikawa kinajaa ndani ya chupi, kiki simama nchi kama 9 hivi, sinatena wasiwasi na mashankupe wa mjini. Kiufupi nasema pilipili imeni ponya. Kwahiyo kwakujua kuwa tatizo hili lina wasumbua wanaume wenzangu wengi nikaona siimbaya kuitoa fikra hii kwa atakae taka
Mungu hakosei labda angekua paipu angekua mzinifu balaa coz anajijua kua yeye hendisamu wadada wanajigonga so hiyo ni s.gavana kutoka kwa muumba
jiamini,nani amekwambia kibamia hakiridhishi?sio wote wanapenda mitarimbo mikubwa.mimi mmoja wapo hicho hicho kibamia kinanitosha.sitaki pm
Hahahahahaaaaaaa! salaleeeeeeeeeeeeee! Duh! Kwa hiyo wewe unakibamia lakini unaweza kukoroga pipa la maharage na lisiungue!! Loh! Ngoja niku PM nije nihakikishe kwa mijicho yangu mwenyewe halafu nilete huo ushuhuda hapa Jamvini.Acha imani za kijinga, mimi nina kibamia ila nikipanda hapo juu ya kifua cha mama ako mdogo ananiambia anatamani niikate ibakie humo humo ndani kwa utamu ninaoumpa.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Duh! Tumia pilipili, chnganya na chumvi , usisahau limao, paka wakati wa kulala, vumilia muwasho maana itakuwa. siyo mm niliyosema nanukuu tu.
Nimechekaje?! Umeng'ata kisha ukapuliza:kama nyoka.Licha ya maneno matamuuu...mwisho sitaki pm!jiamini,nani amekwambia kibamia hakiridhishi?sio wote wanapenda mitarimbo mikubwa.mimi mmoja wapo hicho hicho kibamia kinanitosha.sitaki pm
Uume wako ni mdogo ukilinganisha na wa nani? Anyway, kama unapiga punyeto acha au punguza, halafu tumia mchanganyo wa pilipili, chumvi na limao upake hicho kichwa cha kidudu chako kabla ya kulala kila siku ndo dozi ya kumaliza shida zako.