Uume wangu mdogo nazuga Mlokole

Hahahahahaaaaaaa! salaleeeeeeeeeeeeee! Duh! Kwa hiyo wewe unakibamia lakini unaweza kukoroga pipa la maharage na lisiungue!! Loh! Ngoja niku PM nije nihakikishe kwa mijicho yangu mwenyewe halafu nilete huo ushuhuda hapa Jamvini.

Hahaha! Mna maneno nyieeee?MnayatoaGA wapi??
 
Haaaa si balaa hiyo tumia dawa za kienyeji ikuze mwana wataalamu mbona wengi tu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Wanyamwezi huwa wanakamsemo kuwatia moyo watu wa aina hii:..."kananilii" ka..lobkani kali kwa...mt...mbi!
 
Ukiskia ushauri wa nguvu za giza ndo huu.
Siyo mm baba V , ila Kitoabu ndiyo katoa ushuhuda huo kuwa yeye katumia ndiyo ikaongezeka ukubwa, nimemuomba niende nikamkague kama kweli imekuwa, ili nilete ushahidi hapa jamvini.Kichwa cha habari ameandika "pilipili ndiyo mkombozi wetu".
 
... mboga yangu ni ndogo sana,..... mboga yangu.....



Hahah...umenikumbusha shule ya msingiiii..
we used to sing;
"Wasichana wanapenda mboooo---mboga za majani,
Wavulana wanapenda kuuuuuu---kumaliza shule!"


da pole sana mkuu! wasipopata mboga za majani za kushibisha vitamini watatoa wapi, waelewe tu!
ka vipi endeleza ulokole unalipa..at least u get to go to Heaven man!
 
jiamini,nani amekwambia kibamia hakiridhishi?sio wote wanapenda mitarimbo mikubwa.mimi mmoja wapo hicho hicho kibamia kinanitosha.sitaki pm
Sasa kama kinakutosha kwa nini asiku pm ili kikakutoshe vizuri?, ( na hiyo avatar yako kudadadeki sipati picha )
 
Hahahahahaaaaaaa! salaleeeeeeeeeeeeee! Duh! Kwa hiyo wewe unakibamia lakini unaweza kukoroga pipa la maharage na lisiungue!! Loh! Ngoja niku PM nije nihakikishe kwa mijicho yangu mwenyewe halafu nilete huo ushuhuda hapa Jamvini.

Unabalaa weye
 
Mara nyingi tuna affectika mpaka kiakili kisa mboga... una umri gani... urefu kiasi gani na uzito kiasi gani.... ukinijibu hayo basi ondoa shaka ntakupa namna ya kufanya.... na kama utaweza nipm iyo mboga ina inchi ngapi.... kama ni less than 3" usinipm ntaelewa tuu...
 
mtakuja kufa na vihoro bure,
kinachotakiwa ni zile mbwembwe tu
ukubwa na udogo unachukua nafasi ndogo sana
kumpa bi dada raha.
 
Ustake N'cheke...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mshukuru Mungu kwa kila jambo, ukilalamika sana anaweza hata kuifanya isidinde kabisa, wapo wengine wana dude kubwa lakini halifanyikazi. Pia huenda tu unajihisi kitu yako ndogo lkn si ndogo, kawaida ni inch 4-5. Lkn 3" inatosha kumridhisha mwanamke.
 
wanaume wa hivyo mbwembwe na madharau mmhhhh kumbe......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…