Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaidie mwenzio.Duuh
Mara ya mwisho ulisex lini?Miaka yote nilikua nikivaa nguo , uume unakaa upande wa kushoto, sasa nashangaa kama wiki tatu hivi automatically unakaa upande wa kuliaa,
Msaada
😂😂😂 nimeshituka sababu nimeona kama ni jambo la kawaida tu kwamba naniliu imeamua kubadili upande 🙈🙈
Jamaani Neiba hivyo ndio kashakuwa mwenzangu lol.Msaidie mwenzio.
Watalam ndio nyinyi... Au hukupewa talanta hiyo??? JiranJamaani Neiba hivyo ndio kashakuwa mwenzangu lol.
Mie hata sijui kitu Neiba ye asubiri wataalam waje tu kwa kweli. [emoji3][emoji3]
Hahahaaa. Mie nimeukosa huo jiran.Watalam ndio nyinyi... Au hukupewa talanta hiyo??? Jiran
Ur missed
Utakuwa umelala na mwanamke mwenye macho kumchuzi a.k.a makengeza, bila wewe kujua.Miaka yote nilikua nikivaa nguo , uume unakaa upande wa kushoto, sasa nashangaa kama wiki tatu hivi automatically unakaa upande wa kuliaa,
Msaada
He hee usiadimike hivyo saaana.Hahahaaa. Mie nimeukosa huo jiran.
Nipo jirani mishe tu na kuparangana na maisha ndio kunasababisha tuwe adimu.