Uume Wangu Umechubuka Baada ya Ngono

NondoBoy

Member
Joined
Jul 18, 2007
Posts
9
Reaction score
0
Kuna mwanamke ambae nimeanza mahusiano ya kingono nae jana usiku tulikwenda gesti kutenda hilo jambo sasa kinachoshangaza ni kwamba kabla ya bao la kwanza uume wangu ulianza kujihisi kama vile umechubuka.

Demu mwenyewe alikua mkavu kidogo ukeni, nikajaribu kutemea mate ili alainike lakini baada ya mda mfupi ukavu unarudi pale pale na mimi ndio nazidi kuchubuka. Baada ya bao la kwanza, nilikuta tayari kaloa nilipo ingia mara ya pili.

Lakini haikudumu ni kama vile huyu demu hana unyevu wake mwenyewe wakati anapojamiiana na mwanaume.

Sasa leo, maumivu ya mchubuka yametulia, kwahiyo nahisi sii tatizo la kudumu na wala sio gonjwa la zinaa ni mara ya kwanza mimi kufanya ngono na mwanamke ambae haloi ukeni ipasavyo. Je, unaweza kunishauri vipi kuhusu hili tatizo na jinsi ya kulitatua?
 
Last edited:
Yaani hata mpira hamkutumia, na mnakutana kwa mara ya kwanza?
 
Kajilipuaa..na kajitoa muhanga...............
 
Yaani hata mpira hamkutumia, na mnakutana kwa mara ya kwanza?


Mara ya ngapi aanze kucheza peku peku? 🙂



Nondoboy, pengine ujaribu kurefusha muda wa foreplay?
Kama haikusaidia mwambie yeye ateme mate (denda).





.
 
Duh! Kuna watu wengine hawajipendi kweli kweli!!!!! Pamoja na maonyo yote ya umeme bado umecheza peku peku na mwanamke usiyemjua!!!! Next time jaribu mchezeane kwa muda mrefu inasaidia kumlainisha mwanamke ili naye pia aenjoy tendo hilo. Si ajabu naye pia kachubuka kwa misuguano hiyo mikali. Na kama huwezi kuingia uwanjani na zana zinazostahili basi bora ujisaidie mwenyewe au utarudisha namba siku si zako.
 

..boy,

..kwanza, inabidi uwe makini sana na mchezo wa kupiga kavu hovyo.

..pili, kumbuka kwamba ngono bila kondomu ni sawa na kutembea kwa miguu mitupu juu ya chupa zilizovunjika.

..tatu, ukimwi bado upo na unaua!

..nne, tumia kilainisho chochote,kama mafuta ya kujipaka,ili kupunguza msuguano. hii njia itumie kama hayo ya juu umeyaona hayana maana.

..mwisho, ngono ya namna hiyo ni hatari sana! iache!
 
Causes of lack of female vaginal lubrication (Dry vagina, Dry pussy, Insufficiently wet pussy)

Answer:
Physical causes of the vagina not getting wet enough may be:
* Shortage of the hormone estrogen, for example by early removal of the ovaries.
* Neurological disorders e.g a heart attack, multiple sclerosis, anomalies of the nerves or the spinal cord.
* Certain types of cancer and their treatment.
* Certain medication.
* Fatigue.
* Menopause.
* Pregnancy.
* Getting older.
The doctor, gynaecologist or urologist can detect these physical causes.




  • It can also be that the woman doesn't get aroused by stimulation of the vagina, but only of the clitoris.
  • Relational problems may also play a role. Communication problems, problems of power and lack of confidence are examples of this
  • Try to stimulate her with your fingers first (light masturbation), and your love making session should be longer next time, if there is next time




.
 
yaaani wabongo bwana...
mnakurupuka kumcheka kajilipua na kumsema kama vile kaua duh.
sasa kama wamepima ngoma na wamekuta wako salama ndom ya nini?
 
yaaani wabongo bwana...
mnakurupuka kumcheka kajilipua na kumsema kama vile kaua duh.
sasa kama wamepima ngoma na wamekuta wako salama ndom ya nini?


Unatakiwa upime harafu urudi baada ya miezi mitatu kuthibitisha kama kweli ni -ve, sasa sidhani kama jamaa alisuburi miezi mitatu wakapima tena kabla ya kuingia uwanjani. Hii ni hatari UKIMWI upo na unaua na jamaa sasa hivi atakuwa anajiuliza maswali mengi sana baada ya haya kumtokea
 
Kuna products unaweza kununua for that, kama KY cream etc. usitumie mafuta ambayo hayako designed for this purpose coz yanaharibu ndomu.
Pia kuna Condom ambazo ziko extra lubricated, but since unapiga dry inaweza ikawa ngumu.
 
Dogo kama kuvaa viatu huwezi muulize yule jamaa wa Afrika Kusini yeye akipiga kavu huwa anafanya nini,atakupa jibu.

Dogo ukila mademu watano hivyo ni lazima tukupige chepe
 

Ningekuwa baba yako kweli leo ningekumwagia lazi kabisa. Kwanza inaelekea unawajua akida dada kiasi cha kutosha na hiyo haikuwa mara yako ya kwanza kukwaruzana nao; kwa hiyo sidhnai kama ilikuwa kwa sababu ya ulimbukeni, swali ni je kwa nini bila soksi?
 

Kichuguu, ahsante kwa mchango wako japo swali lilikua kuhusu utatuzi wa tatizo la uke mkavu kama wa yule demu nilie chubuana nae juzi. Lakini nitajibu swali lako. Ni kweli "ninawajua akina dada kiasi cha kutosha na hiyo haikuwa mara yangu ya kwanza kukwaruzana nao" ... ila sijawahi kuchubuka uume. Siku zote naingia demu kesha loa. Na kuhusu kutotumia "soksi", hilo swali gumu kidogo. Kama ni makosa basi wote wawili tumekosa.
 

hayo maswali yooote ndo ingebidi wamuulize kwanza kabla ya kuanza kumshambulia na kumkejeli...
NB: binafsi pia nakubali kuwa ukimwi upo.
 
binafsi nawaomba radhi watu wooote niliowabishia katika thread hii.
coz mtu niliyekuwa namtetea kumbe ni sakala.
na sasa bwana mdogo nondoboy sina tena la kukutetea coz umeonyesha kiwango kikubwa cha ujinga...adios
 
na ukumbuke wahenga wanasema "raha ya siku moja hukupa majuto ya daima".
 
binafsi nawaomba radhi watu wooote niliowabishia katika thread hii.
coz mtu niliyekuwa namtetea kumbe ni sakala.
na sasa bwana mdogo nondoboy sina tena la kukutetea coz umeonyesha kiwango kikubwa cha ujinga...adios

gang chomba, tafadhali usichukulie hasira. Hii ni discussion tu hapa. Niwieradhi kama nimekuudhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…