Uume Wangu Umechubuka Baada ya Ngono


Ahsante Bubu, siku nyingine nitajaribu kumchezea kwanza kwa muda mrefu ili aloe.
 

JAMAA ANA NGOMA!!!!!!!!

Mimi nina wasiwasi huyu jamaa ana ngoma. Inawezekanaje katika zama hizi utembee na demu bila kondom? I mean haijalishi ni demu gani na umetembea nae mara ngapi mpaka wakati huo. Tumeambiwa tukitaka kutokomeza ngoma ni lazima tu-assume watu wote wanangoma kwanza, ndipo tufanye ngono. Kimsingi watu wote tunatakiwa kutumia kinga.
Kwa mantiki hiyo basi tuache kumuuliza jamaa kwa nini anajiamini kiasi hicho, bali tumuulize kwa nini kamuambukiza dada wa watu ukimwi?

Yeye anajua kabisa ana ngoma halafu anamchapa mwenzie kavukavu, (au walichapana???)
Ningepata nafasi ya kukutana na huyu jamaa naona ningemkandamiza mangumi. Hawa ndio wanaofanya kasi ya maambukizi iongezeke kila wiki.
Tchao guys,
Okon
 
Duuh,jamaa kaamua kuvaa mabomu kabisa,ilihali akijua yatalipuka,Mshahara wa dhambi ni mauti
 
yaani unaomyesha jinsi ulivyokuwa na uzoefu wa kupiga nyuchi mbalimbali,unafikiri sifa kutembea bila kondom na kupanga wanawake leo umechubuka ,siku nyingine utanasa uume wako, acha umalaya kuwa napenzi mmoja.!!
 

Hili jibu lako pamoja na kuwa so frank... inatia shaka kama kweli unajua kuna ukimwi na kuwa tabia hiyo itakupelea pabaya.
Mh.maisha ni matamu..tumia kinga iwapo unapenda ngono zembe
 


Soma hapa kujua njia mbalimbali za kutatua tatizo hilo.

Lakini siku nyingine usikutane na bibi usiku huo huo na kwenda kukwaruzana naye bila soksi. Bibi anayetoa papo kwa papo ni wa kuogopwa kama ukoma.
 
Yererooooo!!!!! Kumbe na hizo bado, zipo....... Duh,, Ningeijua lugha ya kushangaa ki computer ningekushangaaa weeeee!!! Ila usijali hujafa bado, chukua zako spedi, sururu, na jembe, kisha anza mdogo mdogo mpaka wanapolala wale wakazi wa nchi za nje a.k.a makaburini, wasalimu afu anza kuandaa makazi yako na wewe, ushakufa mshkaji, huko kuchubuka au kukoborewa ni FIRST DEFENCE REACTION OF A RETRO VIRUS. Pale kirusi ndio kinapekecha hivyo ili kiingie ndani. Nahisi hapo ulipo bado unahisi kuwashwa washwa maeneo, ndio kinatafuna hivyo.
Man pole sana. Dah.
 

Kaka, pole sana, mi nakushauri ukapime VVU kwanza halafu hayo memgine uyatafutie ufumbuzi baade.

Yaani inamaanisha mpaka leo hii unafanya mapenzi bila kinga ya aina yoyote...! Duhh wee kiboko...!

Pia nimestaajabishwa na hiko "kutemea mate" unakozungumzia...! Inaamna hata mafuta ulikua hauna? Khaaaa, hii kali.....!
 

Mdogo wangu, nakushangaa unaposema unawajua akina dada kiasi cha kutosha na hiyo haikuwa mara yako ya kwanza kukwaruzana nao na licha ya uzoefu huo mkubwa hukutumia tahadhari wala kinga!!! kwa zingatia ushauri wote uliopata hapa JF. Kwanza ukumtongoza mwanamke akakukubali usikurupuke kufanya ngono naye siku hiyohiyo ili upate muda wa kufahamiana. Pili kila unapopata mwanamke mpya vitendo vyote vya ngono tumia kondomu hadi hapo mutakapopima wote na kuthibitisha kuwa hamjaambukizwa VVU; na tatu sharti uwe mwaminifu kwa huyo mpenzi muliyepima pamoja na aliye salama. Kumbuka: Asiyesikia la mkuu huvunja guu; Tamaa mbele mauti nyuma; Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza; Sikio la kufa halisikii dawa; Ncha ya Mkuki haipigwi konzi"
 
Wana JF, this is just a reflection of what is happening in our society in as far as HIV/AIDS is concerned. Huyu jamaa angalau ana access to info kidogo na bado amefanya alichokifanya. Hivi wale wakulima huko vijijini ambao habari hasa za VVU hazijawafikia itakuwaje? Inatia huruma na simanzi nikifikiria jinsi watanzania watakavyoisha kwa sababu ya UKIMWI. What can we do?
 
Dah, nimesikitika sana kusoma maoni yote na hakuna hata mmoja aliyekemea ZINAA, hivi kweli inamaana hakuna aliyeweza kuona tatizo la ZINAA hapa?, hebu tujenge maadili mema sote pamoja.

Hapa naomba nieleweke ninaposema tujenge maadili sizungumzii DINI maana kuna watu fikra zao zote ukizungumzia ustaarabu na maadili hufikiri ni mambo ya dini wakati hata mila zetu hukataza ZINAA na hufunza na kuhimiza maadili mema.

Hii ni changamoto.
 
Last edited:
Nimesoma makala haya ya nondoboy mwanzo nilidhani anatania na haraka haraka nilitaka kumshauri MOD aihamishie katika UDAKU/JOKES kwani nilidhani imekosewa kuwa hapa mwisho nikaona kumbe kijana yupo siriaz kabisa. Nilichomuelewa nondo ni kwamba mara nyingi amekuwa akiwatafuna mabinti kavu kavu, hii inaonyesha kuwa amezoea kufanya hivyo.

Ukavu kavu wa sehemu za huyu binti inawezekana wakati anamshughulikia yeye (binti) hakuwa katika mood ya kufanya tendo la ndoa. Huyu nondo inaonyesha alimshurutisha halafu akawa anafanya hivyo PASIPO MAANDALIZI KWA MWANAMKE. HAKUKUWA NA HAJA KUTEMEA MATE KAMA MWANAMKE AMEANDALIWA VEMA.
 

Mi ninavoona huyu nondo hamna haja ya kumuelimisha kuhusu maandalizi ya mwanamke kabla ya tendo kwakua ni marehemu mtarajiwa aliebobea kwenye ngono zembe
 

i think hauna ugonjwa wowote, kama msichana hajisikii sana na raha yani kama humtoshelezi huwa anashindwa kuwa wet[talkin from experience] na hata yeye anaweza kuwa ameumia,.
usiwe na wasi baba!
 
Khaa. Msinichekshe. Ni jambo la kawaida. Amefanya kavu kavu ametarajia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…